tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Watanzania ktk kusherekea Eid ya mwaka huu naona kweli walijipanga maana mpaka leo Kuna baadhi ya watoto wana endelea na sherehe za Eid kwani nini siri ya furaha hii??
Sijasikia eti bei za nguo zilikuwa juu,sijui,nyama bei juu,sijui watoto nimeshindwa kuwapa pesa za kutembea wala nini kila Mzazi alijimwaga apendavyo!!
Najiuliza kumetokea nini maana tulikuwa tunaambiwa hakuna pesa,bei zinapaa za bidhaa,nguo hazinunuliki,kodi nyingi,ilimradi kila lawama kwa Serikali ya Dr John Magufuli.
Nini siri ya mafanikio hayo na furaha hii??