steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,630
Akijibu swali bungeni ni lini serikali italitambua eneo la chisinjisa kuwa ni katikati ya tanzania?
Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi mh Angelina mabula alisema mpaka sasa serikali haijui katikati ya tanzania ni wapi. Waziri amesema serikali haijui ila ipo njiani kuanza upimaji ili uweze kuja na jibu kamili
Pia kuhusu dodoma amesema siyo.katikati mwa TANZANIA