Wa dar tu huyo itakuwaNaona viepe pembeni na wamikoani huwa mnagonga hizo kitu?
Huyo atakuwa wa darNaona viepe pembeni na wamikoani huwa mnagonga hizo kitu?
umeweka doubts Sana.Nipe sababu mkuu
Kuuliza si ujinga.
uoga wako tu, hayo maji yanatengenezwa sumbawanga, yapo sana katavi, tabora na kigoma
kama ambavyo ruwenzori yametawala huko ngara na bukoba
dewdrop wame dizaini izo chupa vizuri mno