Kwani ni lazima kudanganya?

Kwani ni lazima kudanganya?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Tanzania (na Afrika kwa ujumla) kuna watu waongo-waongo sana, yaani haipiti siku lazima mtu adanganye tu.

Kazini, mtaani, ndani ya familia kudanganya ni kama 'fashion' kwa watanzania miaka nenda rudi. Kusema ukweli kuna madhara gani?

Kwanini watu wanapenda sana kudanganya? Bila kudanganya utakufa?
 
Katika Amri Kumi ambazo Mungu alimpa Musa mlimani, kuna amri inayokataza kusema Uongo.

Katika dini nyingi tu, Uongo unakatazwa. Hadi pale tu inapobidi kusema Uongo ili kuyaokoa maisha.

Nadiriki kusema kwamba Hawana mafundisho bora ya kimaadili na kidini.
 
Uwongo upo pote ila sisi tunaongopa hata kwa mambo ya kijinga
 
Back
Top Bottom