Haya mabadiko ya kutotoa habari za kimataifa kweli ni mapungufu kwao. Tunahitji kujua dunia inaendaje, otherwise wako sawa.Promo kazini...Habari za kimataifa yenyewe wanarusha za hapa Afrika mashariki tu....Hamna habari za Nje ya Bara la Afrika kama Ulaya, marekani na Asia...hapo tu wananiboa sana
Yeah mimi huwa siwaelewi kwa nini walitoa hicho kipengele?Haya mabadiko ya kutotoa habari za kimataifa kweli ni mapungufu kwao. Tunahitji kujua dunia inaendaje, otherwise wako sawa.