Hawa wanawake wanaoingilia kazi zetu Wanaume tuwafanye je!!

Jaza Ujazwe

Member
Jun 13, 2017
11
4
Nko hapa standi ya mabasi ya mkoani ya Arusha. Nnachokishuhudia wakuu n hili wimbi la wakina mama na wakina dada weng mnoo wamekuwa wapiga debe hapa stendi cha kushangaza utaukuta n kabint kadogoo kalitakiwa kuwa shule lakini nako n kapiga debe. Kwa nn kasiende hata kuwa housegarl. Km kusoma imeshndkanaa au basi kakajifunze hata ufundi wa kushona basi. Mm sion km n sawa Hz n kazi za wanaumee
 
Ukiondoa kazi za 'kibiolojia' hakuna mahala palipoandikwa kuwa hii kazi ni kiume na hii ni ya kike.
 
Tuvumiliane hali ni ngumu bado wanakuja na wale wajawazito ambao hawatakiwi kuwepo mashuleni
 
Back
Top Bottom