Zanzibar people's Bank mmh jamani kero!

Zanzibar people's Bank mmh jamani kero!

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,490
Reaction score
8,305
Asalaam wanajamvi.Alhamdulillah tumemaliza mwezi wa ramadhani salama.Nina neno kwa PBZ,huduma zenu haziridhishi kabisa na msongamano wa wateja ni mkubwa mno hasa tawi la malindi. Punguzeni kidogo kuchekacheka na wateja,toeni huduma.Cashiers msiinuke kila baada ya dakika tano mnasababisha masumbufu kwa wateja,na stori siyo mahala pake,anokujua atakuja kwako.
Ni hayo tu.
 
Wazo zuri mkuu..u-serious wahitajika
 
Back
Top Bottom