Mwenge unapoteza Muda kwanini tusiufute tu!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,280
6,679
Ni bora hata tungekimbiza ndoo ya maji tukasema tunalowesha nchi ili
kuleta tumaini kwenye kilimo, Ingepunguza gharama za kununua mafuta.
Halafu huu mwenge mimi naona ni ushamba tu kwani ni mambo yaliyopitwa
na wakati, nafikiri hata vizazi vinavyokuja watatucheka sana kwa matumizi
mabaya ya Rasilimali za nchi.

Futa mwenge tafadhali.
908b482d7a0bff92092b5633323cbf26.jpg
 
Kimsingi kwasasa hauna tija na bajeti yake ingewekwa kwenye uwezeshaji wa jamii ili kusisimua uchumi wa umma lakini ukisema ccm hawakubali sijui waliweka dawa gani kwenye mwenyge huo
 
Nahisi ni uchawi wanaotumia kutuloga nchi nzima.....ndio maana na madhambi yote ya awamu za nyuma bado baadhi ya wananchi hata hawaelewi mabaya yao.
 
Me nashauri gharama za mwenge wakatwe viongozi tu.....raia wasihusike hata kutoa shilingi mia....tutaukimbiza vizuri
 
Afu walimu ndo wahanga wa kuchangishwa mara hela itolewe direct kwenye salary mxyuuu fuken
 
Wangefanya kila kata na mwenge wake,ili tuwe na mienge mingi. lita moja tu ya mafuta itoshe,ikimbizwe asubuhi mpaka jioni kila mtaa utakuwa umepitiwa.
 
Back
Top Bottom