Kuna ukweli kuhusu wanafunzi wa boarding kuwekewa mafuta ya taa kwenye chakula?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Dada mmoja ameniambia kuwa walikuwa wanawekewa mafuta ya taa ndani ya chakula ili kupunguza ashiki walipokuwa sekondary boarding school.

Ndiyo ananiuliza je kuna athari atazipata kiafya kama kansa? Amenichanganya kabisa kuhusu hii habari mafuta ya taa.
 
Dada mmoja ameniambia kuwa walikuwa wanawekewa mafuta ya taa ndani ya chakula ili kupunguza hashiki......walipokuwa sekondary boarding school.

Ndiyo ananiuliza je kuna athari atazipata kiafya Kama kansa?

Amenichanganya kabisa kuhusu hii habari....mafuta ya taa??
Ni kweli, lakini ni siri kwani sio tiba rasmi (proven scientifically)bali ni tiba mbadala nzuri sana kukabiliana na msongo wa sexual hormones ambao ukizidi hasa kwa wasichana hupelekea mfadhaiko mkali HYSTERIA ambayo ni hali tata sana kuikabili kisayansi zaidi ya kumshauri binti kuwa na boyfriend.
 
Back
Top Bottom