Je, Tanzania zipo Boards za Architecture?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,927
31,825
Hello JF,

Nimeona mtandaoni, kuna Boards za Architecture, je Tanzania zipo?, I wish kama haipo, ianzishwe sasa wasanifu majengo wote waorodheshwe.

Pia wawe na uwezo wa kuweka portfolio za kazi walizofanya, ili mtu yeyote anaetembelea tovuti ya Board ajue amchague yupi na pia kuwe na sehemu ya rating/reviews za hao mafundi.
 
hello JF,

nimeona mtandaoni,kuna boards za architecture,je Tanzania zipo?,i wish kama haipo ,I anzishwe sasa. ...........wasanifu majengo wote waorodheshwe........,pia wawe na uwezo wa kuweka portfolio za kazi walizofanya,ili mtu yeyote anaetembelea tovuti ya board ajue amchague yupi..na pia kuwe na sehemu ya rating/reviews za hao mafundi..............................
CRB
 
Ardhi University kile chuo kizuri sana coz ya architecture sio mchezo nakumbuka semester ya kwanza tyu munachakaa kwa masomo,izo karatasi zinavyo isha ni baraha ile kozi uwezi kusoma bila mkopo kuna
 
labda wangefanya maboresho;ile list ya architects ingekua active, mtu yeyote akiwa na shida na mmoja wao basi apate kuwasiliana nae,na kuwe na feed back tujue yupi ni mzuri na yupi ni mbaya kwa services wanazotoa............
 
Architecture ni kozi nzuri sana. I am not one but I know one when I see one. Nikiangalia kazi kama za Zaha Hadid (RIP), Renzo Piano nk..unaona ubunifu uliotukuka.

Again, ninachokiona Tanzania ni ngumu kuwa na wataalam ambao they can think outside the box. Mfano Nenda Ardhi University. Ni vigumu sana mtu kuku-convince kwamba hapa ndo wanazalisha wasanifu majengo wa taifa letu. Kwa sababu majengo yenyewe yamechooooka kuliko maelezo. Sasa unajiuliza mwanafunzi anayesomea humo, anaweza kweli kuwa architect mzuri? Ok, as always, wahusika watasingizia kwamba bajeti haitoshi..serikali haipeleki hela na bla blah kibao..lakini hata lile jingo jipya la administration lililojengwa hizi karibuni mbona halina any creativity in it?

Kuna watu nawajua wamesoma pale they are good. Lakini Kiukweli...kwa mazingira ya vijana wanayosomea ni ngumu sana hawa watu uwape kazi utegemee matokeo chanya. exposure is zero!

Kifupi vijana wengi hawajiongezi. Unamiliki simu ya million mbili unashindwa kwenda Masaki na Oybay (among other places-kama huna uwezo wa kwenda nje kutembea) kuangalia majengo ya maana au mahoteli makubwa makubwa upitie uone kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom