Waziri wa Sheria Big up,ila hili LA Gold reserve inabidi iletw na sheria ya kuhujumu uchumi ya China

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
934
1,000
Wandugu nafuatilia katika kamati ya kuleta sheria ya madini,hakika Tanzania inaeleke nchi ya ahadi ya asali na maziwa,big up waziri wa sheria kwa presentation na kujibu maswali kwa ufasaha sana na kutupa mifano hai mingi, ila sheria inataka kuleta Gold reserve yaani store ya dhahabu au bank ya dhahabu sasa nikitathimini pale Bot kuanzia Gavana mpaka mfagiaji hakuna mzalendo ndio maana nikawaza ile sheria ya uhujumu uchumi ya China ya kunyonga ni wakati sasa tuwe nayo ili watu waone dhahabu kama pilipili itakapo wekwa pale Bank ya tanzania,mfano epa watu wamejimegemea tu mafungu ya fedha Gavana anakodoa tu mimacho.
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,789
2,000
Ni hatua nzuri kama itasaidia kulinda rasilimali zetu na kulinufaisha taifa isije ikatokea kama ya Makinikia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom