Je, KWESE wameinunua TV 1? wanaleta ving'amuzi lini?

Mwenye hiyo kampuni ni mjasiriamali na msomi mwenye uzoefu sana, Strive Masiyiwa. Ni mzimbabwe aliyeishi sana nje.

Ukipata nafasi msome kidogo mtandaoni atakubadilisha unavyofikiria kuhusu biashara na ujasiriamali.

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ghDMAQ&usg=AFQjCNH5CjprASYRrrxv3jN4UBhR-wpThw
a6011b802d0dde8b8d2fb7dcad3a526a.jpg
ef5dce562cb9050ecd93a6c34ca6a5c2.jpg
 
The Boss achana na mambo ya vingamuzi.. dunia imehama sasa hivi..

binafsi nina smart tv box ndio kama kingamuzi changu.. pia nina home wifi nzuri.. so naweka line tu ya airtel naitia buku tu napata 2gb uni.. naangalia nachotaka siku mbili..

youtube, mechi na stream online..

tv zote bongo zina online tv naangalia hapo, watoto wanachek katuni youtube..

hakuna kinachonipita internet ina kila kitu... sema nakaa hatua kazaa kutoka kwenye mnara
 
Tunaokaa mbali na minara na hatuna smart tv?
kuna miaka bado michache kabla ya hatua uliyofika kuwa ndio hatua ya kila mtu
 
Hiyo si tetesi mkuu, Viasat imeuzwa toka 2016 kwa Econet Media ni suala la muda hao jamaa watakuja na ving'amuzi vyao.
 
Back
Top Bottom