Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Kazi imekushinda nenda ukalime". Yule muajiriwa/Boss flani hupenda kuitumia hii kauli kwa kuwa yeye anaetegemea kupata ujira kupitia muajiri wake ama kujilipa. Dhana ya kilimo inachukuliwaje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tukumbushane wapendwa. Huko tulikotoka, kule tulikowahi kuishi na pengine hata humu tunamoishi leo, yupo MBABE wa eneo, iwe mtaa! Iwe Kitongoji! Iwe Kijiji! Ni Mbabe. Anaogofya! Anaogopeka! Hawa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku chache baada ya kutangaza kuwasilisha shilingi milioni 40 katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amefafanua sababu za kutomrejeshea fedha huyo...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
Habari wakuu, Kama mwezi mmoja uliopita nilipata simulizi juu ya jiwe ambalo ukiweka simu juu yake inajichaji, Jiwe hilo liko mahali fulani ambako siwezi kusema ni wapi kutokana na walionipeleka...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Naibu Waziri Mpina hongera kwa kazi ya kukagua mito ya Dar es Salaam na kugundua sumu mbalimbali zilizomo ambazo zingeathiri afya za wakazi. Hapa mbezi beach nyuma ya kiwanda cha Interchick kuna...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Meneja Masoko wa Mantrac Bw Valence Pantaleo Kampuni ya Mantrac Tanzania imezindua mpango maalum wa kukodisha na kumiliki mitambo kwa kulipa kidogo kidogo ili kuwarahisishia wateja mzigo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa kilivyo, Dar es salaam boy leo mida hii nilikuwa na vijana wa Lumumba, moja wao akanzisha topic baada ya kuona timu ya Everton imewasili nchini eti ni baadhi ya mafanikio ya mkulu, kwa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Hamjambo wenzangu? Natumai kusafiri on Teusday ama Wednesday Kutoka Mwanza kuelekea Dar. Naomba mniambie ni basi lipi zuri lenye comfort kabisa na ambayo iko condition nzuri ambayo haitofanya...
0 Reactions
75 Replies
21K Views
Nimeiona DSTV channel namba 295, TV E Tanzania. Inagonga video za Music mwanzo mwisho. Ni nani anamiliki hii hapa Tanzania? EATV na Clouds TV wakae chonjo...
1 Reactions
71 Replies
24K Views
Bwana Yesu apewe sifa, Tumsifu Yesu Kristo, Mapendo.... WanaJF, MUNGU hamtupi mja wake. Leo nimeamka saa 11 kasoro kuelekea mjini kwa ajili ya mihangaiko ya siku, ghafla kuna rafiki yangu...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Salaam wanaJukwaa Nlipata taarifa hisio rasmi kwamba kwa jinsi rais anavyobana akakututabiria wanaume wote ambao tunaishi mijini bila kazi maalum maisha yatatushinda na kurudi vijijini kwetu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tunakuomba uwaombe hao jamaa wacheze na Taifa Stars au Simba. Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Unaweza uona toka kokote utakako isipokuwa utaupanda kupitia TANZANIA pekee!! Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepata ujumbe kuwa nitume ujumbe kwa watu 10 Kisha baada ya hapo kesho shida zangu zote zitaisha. Dah... Matajiri wakubwa bado wana changamoto kibao zinawazunguka. Je mimi ni nani hadi shida...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu poleni na mihangaiko.. Nimekuta mada sehemu hadi nikashindwa niamini kipi na niache kushika kipi mada ilikuwa kuhusu mnyama kifaru eti kuna mmoja wa wachangiaji akasema kuwa kifaru akiwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hapa jamii sasa pamekumbwa na Roho ya uzinifu mpaka si vizuri. Imefika kipindi watu hawachangii hoja za msingi ila ukianzisha ka topic ka mapenzi basi hapo ni mtiririko wa porojo na Ma-likes...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Maabara wa Mazingira, Wakala wa Maabara wa Mkemia Mkuu wa Serikali, Emmanuel Gwae, wakati wa ziara ya Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
/ Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom