Msaada : Nyumba ya wageni karibu na stendi Dodoma

Msaada : Nyumba ya wageni karibu na stendi Dodoma

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,789
Reaction score
29,385
Habari wanabodi.

Very soon nitakuwa na safari nikifuatana na vijana wangu kuelekea katikati ya nchi Dodoma.

Tutataka kupumzika karibu na maeneo ya stendi ya mabasi kama siyo basi isiwe mbali sana ili kuturahisishia kuendelea na safari siku Itakayofuatia kwani mizigo itakuwa mingi.


Kwa wenyeji wa mji naomba kujuzwa nyumba za wageni zitakazokuwa karibu, pamoja na bei zake itakuwa vizuri ili niweze kupanga bajeti.

Uwezo wa hotel sina kwa hiyo sitegemei kutajiwa hotel.

Asanteni kwa mtakaotoa msaada.


Jumapili njema
 
Kuna guest inaitwa Yarabi Salama ipo karibu na stand ya daladala, ukichukua bodaboda unalipa buku tuu from hapo stand. Mwendo wa kutembea dakika tano to kumi tuu

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Rest House Nzuri Hapo Tanroad, Just Opposite Na Stand

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Ni vema mkuu ukata kiwango cha bei maana kuna guest zingine unazoelekezwa ucje ukashangaa maana mmh

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
dodoma guests house buku 2 tu.. Ila cjui Kama utazijua coz zinafanana na migahawa
 
ukifika chukua bajaji stendi nauli<2000 nenda Veta hotel kumetulia vyumba 25000 kwa 40 ama hotel 56 iko nyuma ya Bunge vyumba kuna mda vilianzia 15 hadi 40. nadhani kwa sasa min ni 20.
 
ukifika chukua bajaji stendi nauli<2000 nenda Veta hotel kumetulia vyumba 25000 kwa 40 ama hotel 56 iko nyuma ya Bunge vyumba kuna mda vilianzia 15 hadi 40. nadhani kwa sasa min ni 20.
Azingatie huu ushauri bila kuupuzia lasivyo atalala Guest ya MTANZANIA
 
Back
Top Bottom