Baada ya kumaliza Makete katika shughuli za kikazi leo nipo bumbuli kwa mbunge January makamba. Bumbuli ni kuzuri sana hali ya hewa ipo safi kabisa hakuna jua kabisa green city, wakazi wa Bumbuli ni wakarimu mno sio wachoyo.
Chakula bei chee kuna vyakula vingi sana, ukiwa na elfu 1000 unakula mpaka unasaza. Huduma za jamii zipo za kutosha kuna hospital kubwa kabisa Bumbuli Lutheran hospital utaiona kwenye picha.
Kuna vituo vya afya 8 zahanati ya Galambo, Mgwashi, Bumbuli, Kwehangala nk.
Kila nyumba ina bomba la maji pamojana umeme, huduma ya maji ni bure, shule za msingi na sekondari zipo za kutosha.
Tatizo kubwa la wasambaa bado hawajaelimika bado washamba wana asili ya uoga, bado wana ule u CCM.
Picha zinafuata