Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
WanaJF.
Kila binadamu ameletwa duniani for a good purpose,na hata tu viumbe walioko duniani wote wameumbwa na MUNGU kwa makusudi maalum,siyo accidentally tu.
Kuna kipindi mtu anaweza kufanya kitu kizuri,hatupaswi kukitambua na kumpa hongera zake?Tukumbuke pia sisi binadamu siyo malaika lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kuna watu hawaoni zuri lolote, kuna watu hawaoni jema lolote na kuna watu hawaoni zuri lililofanya na Serikali ya Tanzania toka enzi za Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete na sasa Magufuli. Wao kila kitu kupinga tu.Very shame.
Wewe unavyopinga umefanya nini kwa nafasi yako katika jamii? Uzalendo uko wapi hapa?Nchi hi ni yetu sote, kupinga kila kitu haisaidii. Mangapi yanafanyiwa kazi?Ina maana yote hayana maana,hakuna zuri?Haiwezekani tukawa watu wa kitoa mapovu tu.
Rais kila anachofanya wewe lazima upinge.Wewe umefanya nini? Au umeisaidia nchi yako kwa namna gani? Hata viongozi wa upinzani wana ruzuku kibao,je wanaleta miradi gani ya maendeleo nje na madiwani wao kwa kodi za wananchi?
Mnaona kabisa watu wanaweka kooni,bado mtu anakuja kutoa mapovu!
Watu wanataka mishahara walipwe wanayotaka wao, watu wanataka wawe na Uhuru wa kupitiliza wanavyotaka, watu wanataka uhamisho watakavyo, juzi hapa watumishi hewa wametimuliwa mtu bado anaponda. Seith na Rugemalira wameweka kati lakini bado watu hawaoni jitihada zake, wakati ndo hao hao wamekuwa wakiongea miaka nenda rudi kwamba mafisadi hawashughulikiwi.
Shame Tanzania, shame Africans!
Tubadilike, tuache akili mgando za kupinga kila kitu.