TAFSIRI ya neno ulemavu hutofautiana kutoka kwa mtaalam moja hadi mwingine, kutokana na mazingira ambamo tafsiri hiyo hutumika.
Upofu ni hali ya kukosa kuona kutokana sababu za kifisiolojia au...
Wakuu kuna hiki kinachoendelea kwa watumishi wa umma, sasa hivi kuna uhakiki unaohusisha vitu vitatu; kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha utaifa(NIDA) na Hati ya mshahara(salary slip).
Sasa...
Heshima wakuu natarajia kusafiri kwenda Lindi mjini wiki ijayo kutokea Dar es Salaam hivyo basi nilikua nauliza kama kuna yoyote anayefaham mabasi mazuri na pia muda yanayoondoka na sehemu ya...
Ikiwa raisi atapewa mamlaka ya kulinda mikataba ya madini kama wanavotaka wabunge mabwege wa ccm inchi hapo baadae itakuwaje? Lazima tutapata fisadi mmoja amazing si atatuuza kabisa jamani.
Na...
Leon Osman (born 17 May 1981) is an English professional footballer who plays as a midfielder. He is currently a free agent. He spent most of his career at Everton, making 433 appearances and...
Abiria wa mabasi yanayotoka mikoa ya bara yanayopita mkoani Morogoro kuelekea jijini Dar es Salaam wameiomba serikali iruhusu mabasi ya abiria kusafiri baada ya saa sita usiku hasa katika maeneo...
Ndugu zangu wana JF poleni na majukuumu,
Juzi nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta makazi katika mojawapo ya mikoa ya Kanda ya ziwa, nilibahatika kukutana na bwana mmoja kwa jina...
Kwa upande wangu mimi,ni siku nilipopata mtoto ni siku ambayo sitoisahau maishani mwangu. Na uchungu wa kujifungua sitousahau.Na siku alipofariki rafiki yangu wa karibu,kilikuwa kifo cha ghafla...
Jamani kuna kampuni inakwenda kwa jina la mimosa concierge ambayo ni banking kwa kutumia kadi tu bila kwenda kuhudhuria sijui ofisi za bank......
Sijajua kuhusu gharama zao kujiunga maana...
Tumejifunza nini? Bei ilikuwa Tsh 1800, kabla ya Rais kuingilia kati, sasa ni 3000 Tsh. baada ya kuingilia kati. Kuna la kujifunza hapa, tumejifunza nini?
Sent from my HM NOTE 1LTEW using...
Ingekuwa hii issue ni madiwani wa *ccm* wanahamia *chadema* ingekuwa inaongelewaje? Niambie vichwa vya habari kwenye magazeti ya *Tanzania Daima* na *Mwanahalisi* vingesomekaje?? Si mngeandika kwa...
Wakuu, nimeona nitoe tahadhari mapema kabla ya hatari ili yasije kujirudia yale ya Brazil.
Kuna tabia ya kuvamia ndani ya uwanja wakati mpira unaendelea ili kuwakumbatia wachezaji hasa katika...
Waungwana ninatajia kusafiri mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kikazi; kusudio la waraka huu ni kuomba kupatiwa taarifa kwa yeyote anayeijua barabara inayotoka Masasi, Nanyumbu, Tunduru...
Wasalaam!
Jana Nilikuwa Na ishu naifatila pale Police Mbezi.
Jamani,Tuwe makini sana Na Watoto wa kike Hasa wadogo tunaowachukua kwa Lengo la kuwalea au kuwatunza.
Mtoto wa kike miaka kama 6...
Serikalini mtu anaajiriwa kwa kufanya kazi aliyosomea mfano, Nurse, Daktari, Engineer, Mwalimu, Polisi, Mwanasheria n.k n.k.
Mtu aliyemaliza kidato cha 4 na 6 bila kwenda kusomea kozi yoyote ile...
Dar es Salaam.
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) wamemuomba Rais John Magufuli kuangalia upya watumishi waliokutwa na vyeti feki ambao wamebakisha mwaka mmoja kustaafu waweze...
Habari yenu wanajamvi,
Naomba kufahamishwa aliko huyo bwana mkubwa, maana tangu akamatwe na polisi hamna feedback yoyote inayotolewa. Ikumbukwe kwamba Masamaki alituhumiwa kuwa na utajiri wa mali...
01-Tiger shark babies cannibalize each other in utero.
With up to twelve embryos in a shark mother’s belly, only one or two make it out alive. This is because the largest of the pack eats the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.