Habari yenu wanajamvi,
Naomba kufahamishwa aliko huyo bwana mkubwa, maana tangu akamatwe na polisi hamna feedback yoyote inayotolewa. Ikumbukwe kwamba Masamaki alituhumiwa kuwa na utajiri wa mali nyingi ikiwemo nyumba zaidi ya 70.
Ningependa sana kufahamishwa aliko kwa sasa.
Natanguliza shukrani.