Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefuatilia matangazo live ya televisheni mkutano mkuu wa ccm bila shaka imeonekana wazi Tbc inachukua picha ktk ubora hafifu sana kuanzia kwa mzungumzaji na coverage angle walioona hilo wanaweza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa kweli mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matukio kadhaa yanayokuwa yakirushwa live na hii television yetu ya Taifa Kwa kweli ubora wa picha zake ni jambo linalokera na...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Ni kawaida kwa nyumba kujengwa kwa kutumia matofali au katika baadhi ya maeneo ya vijijini kutumia udongo. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, huko kaskazini mwa Tanzania, kikundi cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhandisi Hamadi Masauni amesema, Serikali italazimika kubadili matumizi ya majengo ya ofisi za mifugo ya halmashauri ya wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tatizo kwenye Tecno N2
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Mwenyekiti wa Kitotongi cha Kereba kijiji cha Karagatonga kata ya Kwihancha Wilayani Tarime Mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Marwa Wankuru Gasaya amekutwa ameuawa na watu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kukemea vitendo viovu vinavyosababishwa na ukosefu wa uadilifu kwa baadhi ya watendaji,wasimamizi wa sera...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo? Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samahani wahenga wenzangu naomba kuuliza hivi Hisa za vodacom bado tu hazijapelekwa kwenye soko la Dsm exchange tu Au ndio tumepigwa kama Desi Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Habari zenu wanajamii, Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
27 Replies
28K Views
Mwanamume mmoja amefanikiwa kusafiri na mkebe wa bia pekee kama mzingo nchini Australia. Mwanamume huyo ambaye alitambuliwa kama Dean Stinson alisema kuwa rafiki yake alikuwa amependekeza hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dear Customer, Tigo will upgrade their systems on 13.07.17 from 12AM to 4AM resulting in downtime for Bank to TigoPesa transactions. Sorry for the inconvenience. meseji hii ya bank sijaielewa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi? Pamoja na hilo swali katika kichwa cha habari, pia niulize "Je, ipo sheria ya usalama barabarani inayokataza matumizi ya simu wakati wa kuendesha gari hapa Bongo"? Leo...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha #EFM, Seth Katende (Bikira Wa kisukuma) umehifadhiwa leo kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar, Mungu aiweke...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Kupitia Ubalozi wa Japan wamepata dollars 150,000 ili kujenga Idara ya Dharura ktk Hospital ya Temeke kama ilivyo Muhimbili ili kupunguza Vifo vya wagonjwa mahututi wanaofika japo. Wagonjwa wengi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi 1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
27 Reactions
61 Replies
11K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema watumishi wa umma walioghushi vyeti watachukuliwa hatua za kinidhamu. Kairuki amesema hayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi hii leo weekend, Baba Salama ndio nimetoka kusalimiana na wadau kitaa baada ya shughuli kubwa iliyoniweka bize kwa takribani juma zima. Maana mzee anasema tupige kazi na mimi nampa...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Yaani wilaya hii hayaishi masaa 24 bila imeme kukatika Hii ni hasara kwa watumiaji ila zaidi serikali haipati mapato ya kitosha Jamani simjui meneja huyo ila amechoka nashauri apumzike ije nguvu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimepata taarifa toka kwa ndugu yangu aishie Kibiti kuwa kuna mauaji yametokea usiku wa kuamkia Leo katika kijiji cha Ruaruke. Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Mzuzuri...
3 Reactions
295 Replies
35K Views
Back
Top Bottom