Ni promotion kwasababu u First Lady ni as a spouse of lakini ni mbunge on her own rightsNa mm nataka kujua.. Lakini najiuliza yule aliyetokea kuwa first lady akachaguliwa kuwa mbunge ilikua ni promotion au demotion
Yeye alikuwa mke wa lakini sasa ubunge ni wange mwenyeweNa mm nataka kujua.. Lakini najiuliza yule aliyetokea kuwa first lady akachaguliwa kuwa mbunge ilikua ni promotion au demotion