Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Wakuu, nimeona nitoe tahadhari mapema kabla ya hatari ili yasije kujirudia yale ya Brazil.
Kuna tabia ya kuvamia ndani ya uwanja wakati mpira unaendelea ili kuwakumbatia wachezaji hasa katika nchi zetu za dunia ya tatu pale ambapo wanapokuja wachezaji wakubwa kama Wayne Rooney.
Kitendo kama hiki kiliwai kufanyika wakati timu ya Brazil ilipokuja nchini, kwa shabiki wa mpira kuvamia ndani ya uwanja ili kumkumbatia Ricardo Kaka ambapo ni kinyume na sheria.
Jamani Watanzania ebu leo tuwe wastahimilivu, tusitie aibu Kwa vitendo kama ivi, Timu nyingine zitaogopa kuja.