Usafiri na Malazi lindi mjini

Usafiri na Malazi lindi mjini

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Heshima wakuu natarajia kusafiri kwenda Lindi mjini wiki ijayo kutokea Dar es Salaam hivyo basi nilikua nauliza kama kuna yoyote anayefaham mabasi mazuri na pia muda yanayoondoka na sehemu ya kuyapandia kama ni ubungo au mbagala anijuze

pia hotel au lodge ya bei za wastani Lindi mjini asanteni
 
Muda kuna ya saa 12 asubuhi, saa 4 asubuhi, na saa 6 mchana
Kituo Temeke mwisho
Mabus kuna machinga, maning nice, buti la zungu, ibra
 
Panda baraka classic ya saa sita full kiyoyozi na WIFi na pia gikia hoyel yao inaitwa Baraka momba kiahenzi ila mfikoni uwe 70000 ya chumba japo kizuro 3000 ya vip 2 usiku uko lindi salamaAu panda Buti la zungu zote bomba tu hasa ya saa sita na saa saba

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
mkuu sijaelewa vizuri
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mm nlipanda tashrif la saa moja kwenda Lindi..nauli ilikua 25,000 full ac na gari lipo vzuri..
Lodges Lindi ya 45,000 ina AC,so unaeza pata Picha!
 
Lindi...pwani safi sana....Dar haioni kitu inachoshinda Dar ni uchafu tu na wanaume tata wa kibongo fleva.
 
Back
Top Bottom