Naomba kujuzwa kuhusu Mimosa banking

Naomba kujuzwa kuhusu Mimosa banking

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,826
Jamani kuna kampuni inakwenda kwa jina la mimosa concierge ambayo ni banking kwa kutumia kadi tu bila kwenda kuhudhuria sijui ofisi za bank......

Sijajua kuhusu gharama zao kujiunga maana nimejaribu watafuta wahusika ila customer care wao anaonekana alijifunzia kwa baba yake maana hayupo active sana.

Nataka kujua zaidi kuhusu hii kampuni nina maswali zaidi ya elfu kwa ambao wameshawahi kutumia huduma au kujiunga nao. Nimekuwa interested kwanza ni kwasababu ni kampuni ya kitanzania i believe, pili ni kwasababu card yao inapokea pesa kwa kutumia mpesa, tigopesa, airtel money, nk. Pia hapa karibuni nimeona wameingia na utaratibu wa kujiunga na Paypal kwa maana ya kuwa ukitumia kadi yao kujiunga na paypal inawezekana kwa urahisi. Kwa ambaye ametumia hebu nijuze!

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi itumia ila kwa maelezo yako imekaa kama kadi ya visa ya banc ABC isiyo na acc na unaweka ela kwa njia hiyo ukitaka itoa waitolea atm mashine yoyote inayokubari visa.
Pia unafanya online purchases.
Gharama ni 15000 na unaipata hapo hapo.
 
Sijui Moshi wapo?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kirefu cha hiyo bank ya ABC ni nini ?!

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kirefu cha hiyo bank ya ABC ni nini ?!

SONY Xperia Z5 Premium
Sijui mkuu kama Moshi wapo ila BancABC ni bank kama zilivyo bank nyingine unaweza fungua acc kama.kawaida wana huduma.zote za kibank ila pia wana huduma hiyo niliyokwambia.
Ila pia wanakushauri usiitumie kama acc ya kuhifadhia ela wanakushauri uitumie kama kadi ya kununulia vitu online au ni nzuri kwa wanafunzi wanaosoma nje mzazi inakuwa rahisi kumtumia ela anytime anahamisha tu kwa tigo au mpesa yeye kule anaweza itoa atm
 
Back
Top Bottom