Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina. Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari. My take...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Kumetokea ajali ya moto katika chuo cha kilimo Mtwara(MATI-Mtwara). Moto huo umetokea majira ya saa tatu asubuhi leo hii, Umeunguza bweni la wasichana linalochukua takribani watu 70. Chanzo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iwepo sheria ukiokota gari nje usililipie kodi ya kununua gari jipya
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiandika mada mbalimbali hapa JF kuhusu mtu mweusi kutokana na mapungufu makubwa ninayoyaona kutuhusu japo huwa sieleweki na wakati mwingine kushambuliwa ingawa nimekuwa sichoki...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu, Napenda niulize wana JF kuwa eti kuna habari imevuma kuwa ukitumia mboga za majani kuna mdudu anaitwa dudumtu ni kweli yupo? Madhara yake nini? Na kama ni hivyo kweli...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mwitikio wa watu ni mkubwa. Lakini utaratibu ni wa kukatisha tamaa. Foleni ni ndefu lakini wahudumu wachache mno. Mara utasikia mtandao uko down. Yaani ni vituko. Sent from my SM-J111F using...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Wajamaa wanaamini chanzo cha utajiri wote ni ardhi, bila ardhi hakuna utajiri, wakati Mabepari wanaamini chanzo cha utajiri wote ni kazi, bila kazi hakuna utajiri. Katika Dunia ya leo, ubepari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja: CCM imeharibu uchumi biashara zimefungwa, viwanda vime collapse, Weka na la kwako, twende kazi.
3 Reactions
32 Replies
3K Views
ndugu zanguni usiombe msiba ukukute usikie tu kwa jira Niliwaonea huruma sana hawa binadamu wenzangu na muda mwingine kutokwa na machozi pindi nilipo wakuta wakipewa kichapo baada ya kukwapua...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwangu mimi thread ya maana kuliko zote ni hii. Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa Hapa ndipo unaona manufaa ya JF, by 95%, not otherwise. 5% iliyobaki ni mastory ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu. Kama unafuatilia siasa za kimataifa nadhani hukipitwa na kauli ya Rais wa Ufaransa ya kuwakejeli waafrika.Waafrika kuwa tunazaana hovyo na hatuna ustaarabu. Pia hata Donald...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Manesi wa hospitali ya Kairuki wamekuwa wakiwajibu vibaya wagonjwa na pia ndugu wa wagonjwa. Pamoja na kutoruhusu watu kulala na wagonjwa wao, manesi ambao walitakiwa wawe wanawatembelea...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mashabiki Wa mpira hasa waliobahatika kutuwakilisha Kirumba jijini mwanza, watupe matokeo! Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato nchini leo imetangaza kuwa imeongeza tena siku nyingine 15 za muda wa kulipia kodi ya majengo hadi Julai 30. ==== MAMLAKA ya Mapato(TRA) iliwatangazia wamiliki wa majengo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamii! Binafsi sio shabiki wa mchezo wa miguu ila ni mdau mkubwaa wa maswala ya michezo kwakuwa mashindano ya michezo yanaleta burudani, Afya njema na kutoa ajira na kuinua vipaji kwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yaongeza muda wa kulipia kodi ya majengo hadi Julai 31 mwaka huu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba munisaidie toleo jipya la income tax inayotumika. Nikitafuta internet napata ya mwaka 2008 lakini naambiwa ipo mpya ya mwaka 2014.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninaombeni kama kuna mtu anaweza kutoa mrejesho kuhusu kusoma kingereza kwa rasi simba Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Shalom wakuu. Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory). Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model)...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…