KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,660
- 89,486
Binadamu tumekuwa tukipambana huku na huko katika harakati za kutafuta mafanikio katika maisha na mtu akishayapata huanza kumaintain ili yasishuke, sasa ndio tayari umeshapata mafanikio so what next? Kifo.
Unafikiri tunayoyatenda ndiyo tunayopaswa kutenda ama tunatendeshwa ndio maana hatujui nini tunachotakiwa kutenda?
Upambane ili kupata mafanikio ndio jambo sahihi tunalopaswa kutenda au ni system iliyoandaliwa na watu baadhi ili kumlaghai binadamu.
Nini maoni yako juu ya hili?