666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,046
Baada ya jana Baraza la Mitihani kutangaza matokeo ya kidato cha sita, kumetokea sintofahamu kwa wazazi na walezi wa waliokua wanafunzi wa shule za sekondari za Mtakatifu Vicent ya Tabora na Hagafilo ya Njombe.
Shule hizi ni binafsi yaani Private schools, maajabu yake ni kua Hagafilo Secondary yenyewe imeshika nafasi ya pili mkiani kwa kua na wanafunzi waliofanya vibaya zaidi mitihani ya kidato cha sita, wakati ile Saint Vincent imekua ya kumi ikifunga top ten ya shule jinga zaidi Tanzania.
Sasa nini madhumuni ya kupeleka watoto shule za private ambazo kimatokeo na uweledi zinazidiwa na shule nyingi tu za kata ambazo zimekua zikionekana kua "hopless"? Je mamailioni walio yatupa wazazi wa wanafunzi wa shule hizi mbili yameenda bure?
Sasa dhima ya private schools si ni kutoa huduma zilizobora kabisa kuliko "kata"? Sasa imekuaje hawa wanazidiwa na "shule za kata"?
No way out, wamiliki wa hizi shule wanalo la kujibu, hasa kwa kutoa elimu mbovu kabisaa na mbinu duni sanaa.
Poleni wazazi mliotupa bure hela zenu kwa shule za namna hii.