UDOM: Wanafunzi wa taifa la Msumbiji waanza kubaguliwa na wenzao

UKILA NYAMA YA MTU ......

TUWALISHE YA KUTOSHA NA WAO?

NI WEUSI KAMA SISI!

MIPAKA ALICHORA BISMARK SIJUI MWAKA GANI!

sisi ni wakazi wa liudongo likubwa linaloitwa africa (in small letters pliz)

sisi na wao wa Msumbiji hata wa Ghana pia!

ooh, this color is so awkward!


A CONTINENT WITH DARK PEOPLE IS NOT A DARK CONTINENT!

HAMTANIELEWA!
 
Sema watu wengi mnakurupuka hamjui kinachoendelea. Iko hivi, kuna wabongo wengi walienda Msumbiji na baada ya kufika huko walitoa hela na kujifanya ni wazawa. Hivyo wengi hawakuwa na vibali kabisa. Na ndiyo maana wamefukuzwa.
 
yan aijarish km ni wahamiaji haram au laa ilimrad ni wa tz wenzetu kwan wao mbna wapo wengi kwetu lkn tumekausha tu....dawa yao ndo iyo tuone msumbij watajiskiaje
 
Katika hali ya kushangaza na kushtusha wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma wazawa wa Taifa la Tanzania wameanza kuonesha chuki na kuwabagua wanafunzi wenzao kutoka Msumbiji kutokana na hali inayoendelea nchini kwao Msumbiji ya kuwafukuza raia wa Tanzania.

Hali iliopo kwa sasa inawapelekea wanafunzi wa taifa la Msumbiji kujiona wanyonge na pia baadhi ya wanafunzi wa kitanzania UDOM wamesema wapo tayari kulipa kisasi kutokana wenzao wanao fukuzwa huko msumbiji.

Source: Wanafunzi UDOM
acha kusambaza chuki zisizo na msingi ifike wakati Mhariri Paw Mod 1 muwe mnaangalia mada kama hizi maana hazina tija na zinachochea chuki....
 
UKILA NYAMA YA MTU ......

TUWALISHE YA KUTOSHA NA WAO?

NI WEUSI KAMA SISI!

MIPAKA ALICHORA BISMARK SIJUI MWAKA GANI!

sisi ni wakazi wa liudongo likubwa linaloitwa africa (in small letters pliz)

sisi na wao wa Msumbiji hata wa Ghana pia!

ooh, this color is so awkward!


A CONTINENT WITH DARK PEOPLE IS NOT A DARK CONTINENT!

HAMTANIELEWA!
Sijui nani kakuambia kuwa ukiandika post zako kwa mtindo huo unakuwa mzuri..........?? unajaza nafasi tu........acha mbwembwe mtoto wa kike.......!!!!
 
Back
Top Bottom