Kifaru cha jeshi kaiga kobe na konokono wa baharini
Yale mandege stealth ya USA kaiga kwa popo
Gari kaiga Farasi
Ndege kaiga Tai
Nyambizi kaiga Dolphins
Mfumo wa uendeshaji ktk gari i.e.mfumo...
Wakuu nimelazimika kuwauliza suali hili, baada yakuona ugonjwa huu wa malaria unavo leta maafa kwa binadamu na jinsi waganga wakienyeji wanavo wahakikishia wananchi kuwa wao wanauwezo mkubwa...
Ndugu wana janvi naomba kujuzw kwa yule anayefahamu basi zuri linalofanya safari za dar to bukoba kila siku maana natarajia kusafiri kwenda uko ila ni mda mrefu sijaenda hivyo sina ufahamu mzuri...
Watoto wanne wa familia tofauti wamefariki baada ya kuingia kwenye gari ndogo lililoachwa mlango mmoja wazi huko Zanzibar na milango kuji lock walipokuwa ndani kwa kukosa hewa safi na Salama...
1.Roho ipi ya kwanza kuingia ulimwengu wa roho?
Roho ya mwanamke mwema ndiyo ya kwanza kufika katika ulimwengu wa roho.Roho ya mwanaume mwema inapofika katika ulimwengu wa roho inaikuta tayari...
Ndugu zangu! Naombeni mnitoe tongotongo! Mara nyingi nasikia askofu mkuu Wa jimbo la dar es salaam anaitwa muadhama kardinali polyicarp pengo!
Sasa huwa sielewi neno Muadhama ni cheo au jina...
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili...
Bweni la wasichana wa shule ya sekondari Bunambiyu Wilayani Kishapu limeteketea kwa moto leo.
Wilaya ya Kishapu ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga
Magodoro 36, vitanda 15 pamoja na Mali...
MIMI NAKAA MBEZI BEACH DSM.NATAFUTA SEHEMU AMBAYO KUNA KITUO AU MTU BINAFSI ATAKAYENIFUNDISHA JINSI YA KUPIGA KINANDA.SEHEMU HIYO YA KUJIFUNZIA IWE MAENEO YA MBEZI BEACH,AU TEGETA NA AU MWENGE.KWA...
Watoto wanne wenye Umri wa Miaka kati ya Miwili na Mitatu wa Familia tofauti Mjini Unguja, wamefariki dunia baada ya kushindwa kutoka nje ya gari walilokuwemo kutokana na milango ya gari hiyo...
Hahaha yani nimecheka eti watu wanaolipa ada mil 9 na wanaosoma bure wote wapo top 10. Wazazi acheni kupoteza pesa shule za magu za bure zatosha. Nawasilisha
Printer yangu aina ya EPSON L220, imegoma kuprint, na inaonesha ujumbe ufuatao;
"Printer's ink pads are at the end of their service life. Please contact Epson Support."
Nisaidieni namna ya...
Anazingua kinoma mara sauti ibust mara iwe chini. Bure kabisa huyo,tafuteni mtu competent au mpelekeni akasome,news inaboa hasa wakati wa matangazo mtu unashikilia remote controller kila wakati...
Wakuu habari ya jioni,kuna jambo linanichanganya sana akili.Miaka 2 iliyopita nilinunua uwanja kwa ajiri ya ujenzi wa makazi,nililipa pesa robo tatu ya gharama zote.tuliiandikishana mbele ya...
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya...
Habari za wakati wakuu.
Ngoja twende moja kwa moja kwenye mada yetu.
Imekua ni utaratibu wa kawaida kwa wanandoa kuvishana Pete kidoleni wakati wa kufunga ndoa kanisani.Ikimaanisha kula yamini...
Ingweeeeeee!!!, .
Nakumbuka kuna muda hua ajali na majanga vinashamiri sana kitaifa na hata kimataifa.Kuna wakati hua ndege nyingi zinaripotiwa kuanguka sehem mbali mbali duniani na kusababisha...