Wadau,
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa uanachama wa Zanzibar kwenye shirikisho la soka barani Afrika CAF umefutwa. Tatizo langu si uhalali wa Zanzibar kuwa na vigezo vya kuwa mwanachama au la, ila...
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk John Magufuli amesisitiza tamko la serikali kuwa nyama ya nguruwe, maarufu kama Kiti Moto, ni salama kwa kuwa hakuna taarifa za kuathirika kwa wanyama...
Ni zaidi ya wiki mbili na kama sijakosea itakua ya tatu kumetokea jambo ambalo ni la kustaajabisha kidogo katika jiji hili.
Hapa ninapokaa (Ubungo Msewe) hapo awali kuona maji yanatoka katika...
Kama funzo kwa wengine na kujua mbinu za matapeli toa ushuhuda hapa
Naanza na mm mwenyewe
Mwaka2015:Dodoma
Nilitapeliwa Simu ya itel Mpyaaa!! Kwa kubadilishana na Sony experia copy!!
Na...
Kesho Ijumaa tarehe 21/7/2017 Mhe.Rc Makonda atakuwa LIVE kupitia channel ten.
WanaDar jiamdaeni kusikia ujumbe wa maendeleo ya mkoa wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Posted Date::10/3/2007
Wanafunzi Muhimbili watangaza mgomo wadai hawana pa kuishi
Na Andrew Msechu
Mwananchi
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili wametangaza mgomo usio na...
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliojitokeza kuniunga mkono kushiriki nami pamoja na kununua nguruwe na kitimoto jumla na rejareja baada ya kuleta tangazo hapa jf wiki iliyopita.
Mzigo...
Naomba msaada kwa waliowahi kuwafungulia watoto wao akaunti za akiba benki, ni benki gani zuri kwa ajili ya akaunti hiyo.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya jumapili wadau,
Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni.
Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua...
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu...
Baada ya Shirikisho la soka barani Africa (CAF) kuifutia Zanzibar uwakilishi na uanachama wa soka Africa, ni wazi TFF inahatarisha muungano wa Tanzania
Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja, ni...
Ni mda sasa toka uhamisho kusitishwa, watumishi idara mbalimbali wamekuwa wakiomba kuhama hususani kwenda kwa wapendwa wao ( wake/waume) lakini wamezuiliwa kwa hoja ya uhakiki, ebu kuweni...
Binadamu mtu wa ajabu sana,akifanya mazabe jamii ikiyafahamu anakuwa mbogo c mwingine Daktari wa makanisa Lwakatare kisa kaanikwa anakwenda kulalamika bungeni akisaidiwa na cjui ni swahiba Mh...
Serikali imekifunga kiwanda cha ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo wilaya ya Ilemela kwa kushindwa kuendelezwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
Kiwanda hicho, kinachodaiwa kumilikiwa na...
Ivi nini maana ya kuwa na chama kisichoangalia madhumun ya kuanzishwa kwake na kazi zake ukweli CWT kuanzia mwez ujao hachen kukata ela yetu maana kazi mnayoifanya in tofauti na tuliyowatuma...
Naomba niulize kama wapo wenye Cervical cancer, prostate na throat cancer waandike sms au wapige 0766112752 wakiwa wanajua level yake ili tuone jinsi gani tunaweza kuwasaidia.
Sent using Jamii...
Dar es Salaam. Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA) kimeiomba Serikali kuweka chombo maalumu kitakacho wadhibiti madalali wa nyumba ili kuondokana na migogoro inayotokea kati ya mpangaji na...
Kuna shairi limeandikwa na Mwanajeshi mmoja nchini Nigeria limenivutia sana. Nimelitafsiri kwa Kiswahili na ninali-dedicate kwa Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania
_____________________________...