Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtumishi waumaa kazi yake ni kutekeleza yale yaliyomo kwenye mkataba wake wa kazi na mengine ya msingi atakayopewa na mwajiriwake. Je, wajibu wa mwajiri ni nini? nikulinda haki za mtumishi wa umma...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani hawara wangu amejifungua, sasa najifikiria huyo binti yangu nimpe jina gani. Na mimi kutokana na trending za bongo nimeamua kupendekeza majina hapo juu yaani kolomije , makinikia na kiki...
1 Reactions
5 Replies
835 Views
Najiuliza hili Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi Tanzania lipo Kwelii..?? @ ama wameendalikizo?? Je,haya Malalamiko khs nyongeza ya Mishahara kwa Wanachama wenu Mmeyasikia? Ni mwaka mwaka wa 2...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
*WASOMI WA VYUO NA VYUO VIKUU WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI* -------------------------------------- Na: Nassir Bakari Upanga, Dar es Salaam. *Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya vyuo na vyuo vikuu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Watu watatu walipata ajali ya gari na hawakujitambua kabisa. Raia mwema akatokea sehem ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada. Bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali kulikuwa na simu 6...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Kosa lenu ni kuchagua upinzani si kingine, ili mtatuliwe hizo kero zenu 2020 mnatakiwa kuchagua viongozi kutoka ccm. Hivi ni dhambi kubwa sana kuwa mpinzani dhidi ya ccm na Magu?? South
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam wandugu. Hivi inawezekana kupata certificate of service ukiwa bado mwajiriwa kwenye company?
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka . Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha...
12 Reactions
74 Replies
7K Views
Ghafra tafrani, watu waliwakwa na mihemko mikali, wakasema tunataka MTU atakaye amua kusema kweli, hata kama uko uchungu kwa anaye usikia 1:Raisi akasema kweli: "Katika serikali yangu sitaweza...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.* 2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ivi kuna application ambayo inaweza ikanisaidia mtu mwenye number (Mfano.07579166**) inapatikana wapi ata acpo pokea cm.nimeibiwa na nikimpigia apokei...Cm ake inaita too. Sent...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nlkichwa cha habari Najiuliza umarufu unavyoweza kukupoteza ninayo makundi machache nawe unaweza ongeza Yale unayoyajua na umarufu umeyapoteza Hard blastas East coast Tmk wanaume Gheto boy Daz...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toka juzi maeneo mbalimbali ya Dar es salaam umeme umekuwa ukikatika mara kwa mara jambo ambalo hatukuwahi kuliona kabla kwenye utawala wa awamu ya tano. Je, ni matatizo ya kiufundi au ndio yale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauliza kwa hapa Moshi mjini nitapata wapi kiti moto safi ya kukaanga ?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna nini NACTE, ni vurugu tupu kwenye application on line.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Nadhani hii ndo safari ya mwisho ya mayanga sidhani kama tutaendelea kukupa timu yetu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Kuna majizi yanaibia watu pesa kialamu kwa kisingizio cha kuwaunga na JKT wao udai wanauwezo wa kuwaunganisha mojakwamoja jkt watakwambia uwatumie pesa kuanzia sh,500,000/ na kuendelea na kuwataka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaoleta taabu ni wazazi wetu vijijini. Wapeleke darasani kuanzia sasa, bila hivyo mwafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa milele na 200,000 kwa mwezi!
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Mh. Mhandisi Hamad Masauni (MB) amesema kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. DR. JOHN...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau habari mapema mida ya saa sita niliingia kwenye web ya mkekabet nikachagua timu kadhaa nikaweka 20000 katika timu nilizochagua iliwemo leicester na liverpool ambayo itachezwa mda si mrefu...
1 Reactions
16 Replies
13K Views
Back
Top Bottom