kikulu
Member
- Mar 19, 2017
- 26
- 14
Ni mda sasa toka uhamisho kusitishwa, watumishi idara mbalimbali wamekuwa wakiomba kuhama hususani kwenda kwa wapendwa wao ( wake/waume) lakini wamezuiliwa kwa hoja ya uhakiki, ebu kuweni waungwana, mbona huko juu mnahamishana kwa kusingizia dharura?, tuna hali mbaya, kumwona mke mpaka likizo, hujui anaishije huko, anaoata vishawishi gani, au mnataka tume kwa UKIMWI? nasi tunapenda ndoa zetu kama mlivyo ninyi, tuhurumieni. Inaumiza sana