Mbunge apendekeza zitungwe sheria za kuibana Jamii Forum na Intenet cafe

lemikaoforo

Member
Jan 29, 2012
70
5
Binadamu mtu wa ajabu sana,akifanya mazabe jamii ikiyafahamu anakuwa mbogo c mwingine Daktari wa makanisa Lwakatare kisa kaanikwa anakwenda kulalamika bungeni akisaidiwa na cjui ni swahiba Mh Ngo(ye)e,
Kaanikwa kidunchu c yaanikwe yote,
Haipendezi mbunge unaacha kuuliza hoja za msingi kama kutunga sheria ya madini yanayotoroshwa kila uchao tuwabane wawekezaji pasu kwa pasu hawataki walale mbele hayataoza kwa kutokuchimbwa
Huyu mama lakwatare akaendelee kuwadanganya waumini wake c vinginevyo
 
bunge lina knowledge gani kuhusu ICT laws? hakuna kitu wanangekuwa hata na idea wasingepitisha THE ELECTRONIC AND POSTAL COMMUNICATIONS ACT, 2010 ambayo wananchi hawakupewa mda wa kuijadili.mapungufu ni mengi kama ukipoteza simcard afu usiporiport unashtakiwa kama kosa jinai,huu ni ujinga.
mitandao ya kijamii ipo kupashana habari duniani kote,ipo wazi mtu kutoa mawazo sasa yeye ni nani atakeibanwe? atasema ni privacy issue kumwandika humu jf lkn je mambo yanayokiuka mustakbali wa taifa au mambo yanayokwenda kinyume na jamii nayo ni privacy? tena atulie yapo mengi yamehifadhiwa hayajaandikwa hapa JF kumhusu.Kama mtu ni clean utaogopa nini kuandikwa???
tuna safari ndefu kwani wabunge wengi ni vihiyo hawasomi sheria hata za nje wanalipuka tu na kusema wanayojua.wizi mtupu'

kuisomahiyo sheria zaidi bofya www.tcra.go.tz/policy/epoca.pdf
 
Huyu mama atulie na aache kuwapotezea watz muda wao wa kujiletea maendeleo badala ya kuwadanganya na miujiza isiyowasaidia. Pia awe anasoma sheria mbalimbali ili ajue na kufahamu kuwa anachoenda kuuliza bungeni lina manufaa kwa jamii na si kwa faida yake
 
Kinachomuharibu huyu shangingi ni kukosa mume, dogodogo anazotoka nazo ndizo zinazomdanganya ili zivute mkwanja wa kutosha.
 
:lol::lol::lol: hadi mbavuuu zangu zauma,Mama Rwakatare alipoamka kutoa hoja ,eti Jamiii forum,mama ni mfinyu wa mawazo yule anaonekana...
 
Binadamu mtu wa ajabu sana,akifanya mazabe jamii ikiyafahamu anakuwa mbogo c mwingine Daktari wa makanisa Lwakatare kisa kaanikwa anakwenda kulalamika bungeni akisaidiwa na cjui ni swahiba Mh Ngo(ye)e,
Kaanikwa kidunchu c yaanikwe yote,
Haipendezi mbunge unaacha kuuliza hoja za msingi kama kutunga sheria ya madini yanayotoroshwa kila uchao tuwabane wawekezaji pasu kwa pasu hawataki walale mbele hayataoza kwa kutokuchimbwa
Huyu mama lakwatare akaendelee kuwadanganya waumini wake c vinginevyo

Huyu mama anajua nini kuhusu uhuru wa vyombo vya habari??? Wao wakifanya madudu wasianikwe hapo walipelekwa kutumikia wananchi au kunenepesha mili yao au kuuza sura pale bungeni?

Mfano mzuri tu hapo jirani Kenya huwa wana kipindi kina itwa BULLSEYE kila ijumaa NTV huwa wana toa video clip za matukio mbali mbali ya viongozi wa Kenya wanavyo tupiana maneno na madudu wanaya yafanya na hawajafungiwa hao NTV kwa sababu ya sheria za HABARI NA MWASILIANO imekaa mkao mzuri yetu hapa kwetu ni kurumbana tu na vyombo vingi vya habari vina hongwa hongwa tuu na kuwa pamba wakubwa na ndicho hicho Rwakatare anataka jamani unyanya paaaa huu utaisha lini?

Hawa wabunge wetu mh! ndio hilo tu aliloenda kuchotea posho na perdiem huko DOM?
Kwakweli tunayosafari ndefu, hili la kuingiza mjengoni watu kwa simple popularities zinatucost!
 
Kwanza hata bungeni leo hakuwepo, hiyo hoja amewakilishwa na kilaza mwenzie.
Hebu fikiria huyu mtumishi wa Mungu, hakuona haja ya kusikiliza taarifa ya serikali (na hata ikiwezekana aijadili) juu ya mgomo wa madaktari. Yeye kwake watu wanaokufa pale muhimbilli, kwake sio hoja ya msingi. Shame on her!

Mimi nadhani ifike wakati, hii kitu inaitwa viti maalum, iangaliwe kama ina maslahi kwa jamii.
 
Kwanza hata bungeni leo hakuwepo. Huo upupu wake amewakilishwa na kilaza mwenzie.
Hebu fikiria huyu mtumishi wa Mungu, hakuona umuhimu wa kusikiliza taarifa ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari.
Kwa maana nyingine ni kwamba, watu wote wanaokufa pale Muhimbili kutokana na mgomo huu, kwake yeye sio shida.

Mimi nadhani hii kitu inaitwa viti maalum, ifike mahali tuiangalie upya kama kweli ina maslahi kwa jamii.
 
Kwanza hata bungeni leo hakuwepo, hiyo hoja amewakilishwa na kilaza mwenzie.
Hebu fikiria huyu mtumishi wa Mungu, hakuona haja ya kusikiliza taarifa ya serikali (na hata ikiwezekana aijadili) juu ya mgomo wa madaktari. Yeye kwake watu wanaokufa pale muhimbilli, kwake sio hoja ya msingi. Shame on her!

Mimi nadhani ifike wakati, hii kitu inaitwa viti maalum, iangaliwe kama ina maslahi kwa jamii.
Hakuwepo kwasababu alikua anatengeneza misukule
 
Humu JF tunao wanasheria wazuri sana,katika hili tutahitaji msaada wenu kwa gharama yoyote,mimi binafsi niko tayari kabisa kuchangia.
 
Hii ndio taabu ya mwanamke kukaa na uchafu muda mrefu,awaachie vijana wamchuje nafaka ili akili yake ikae sawa.
 
Humu JF tunao wanasheria wazuri sana,katika hili tutahitaji msaada wenu kwa gharama yoyote,mimi binafsi niko tayari kabisa kuchangia.

Haiitaji sheria ila ni kumuelimisha tu huyo [mjane] kuwa asome sheria
hii mitandao iko worldwide na mingine hutumika hata kuchagua rais wanaomtaka.
tatizo ni kuwa hata huyo aliyempa ubunge ana tatizo!!
 
kwanza ana matatizo haiwezekani uwe mchungaji. mfanyabiashara. mbunge kwa nini asishike jambo moja hilo tu linaonesha ana matatizo kichwani mwake anakemea shetani kumbe yeye ndo mtenda maovu na ashindwe kwa jina la yesu ibirisi anaye dai jamii forum ifungwe
 
Mama Lwakatare na aliyemteua "viti" maalum akili zao sawa sawa tu, yaani zimefanana sana: majibu rahisi kwa maswali magumu. Asifikirie kuwa mkurugenzi wa mashule ndo kuwa na akili/busara, maake amezidi kuropoka.
 
Back
Top Bottom