WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliojitokeza kuniunga mkono kushiriki nami pamoja na kununua nguruwe na kitimoto jumla na rejareja baada ya kuleta tangazo hapa jf wiki iliyopita.
Mzigo wote uliisha.
Tuonane mwaka mpya.
1419600280601.jpg
 
Kudadadadekii. Hii makitu weee achaa tu ni tamu laanaa. Maaam maeeeee!!
 
Huko pande zipi mkuu?kavu sh ngapi? Na rost sh ngapi?napenda sn inayokaangwa kwa mkaa au kuni,kwa gas au umeme sizipendi.
 
Huko pande zipi mkuu?kavu sh ngapi? Na rost sh ngapi?napenda sn inayokaangwa kwa mkaa au kuni,kwa gas au umeme sizipendi.

1419603812898.jpg
1419603856330.jpg
Kilo ya rost 10000/=
Kavu na kachumbari 9500/=
Kimara, mkwajuni, mwenge na tegeta. Karibu sana.
 
Hii kitu nikisia harufu yake nasiki raha mwili mzima mpaka nadinda yn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom