Nawapa pole Sana walimu kwa Kazi kubwa mnayo fanya na kwa kuperekeshwa kila kukicha pasipo faida.
Nyie ndio watumishi wazarendo wa nch yetu yenye kila utajiri, walimu wenzangu tangu niache hi...
Nimeona mahali member mwenzetu, Mudawote akishauri watu waliopungukiwa akili wakatwe vichwa. Mimi nikaona tuanze na hawa waliokopa fedha alafu wakaenda kununulia magari ili waoneshe ufahari hasa...
Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limeendelea na msako maalum ya tokomoza uhalifu na kufanikiwa kukamata Bunduki tatu aina ya Gobore na risasi 54 misokoto 2601 ya Bangi, pikipiki tatu na samani za...
Hakuna jambo lolote lililo jema ambalo utaweza kulipata au kulifanikisha bila ya kuwepo na upinzani,
kila njia ya mafanikio uiendeayo huwa haikosi upinzani wa kuzuia mafanikio hayo,
Kumbuka...
Ni kuhusu pesa ya ESCROW iliyorejeshwa na mmoja wa wanufaika ndugu William Ngeleja.
Kwa utashi wake mwenyewe ama kwa kuombwa au kushurutishwa kufanya hivyo na pengine pia kuhukumiwa na nafsi...
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (Chakua), kimeiomba Serikali kuwapa maelekezo wamiliki wa mabasi ya abiria kote nchini kuingia katika mfumo wa kielektroniki katika ukataji wa tiketi.
Mwenyekiti...
Ndugu mtanzania mwenzangu,
Wakati Fulani nilifikia ukataa wakusema hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa fikra , mfano: "watanzania Bwana ni taifa la ajabu" nilijiuliza kwa nini watu husema hayo...
Siku za nyuma ilikuwa kila ukipita vituo vya polisi lazima ukutane na gari zilipopata ajali hasa hasa nyakati za usiku, siku za weekend.
Ila tangu pesa ya kunywa pombe iadimike, ajali za sasa...
Kuna watu ambao katika maisha yao yaligubikwa na umwagaji wa damu au kuua watu. Mpaka majina yao yakitajwa watu wanashtuka. Mfano wa majina hayo ni Jonas Savimbi, Idd Amini Dada, Fodei Sanko...
Kama kickwa cha habari kinavojieleza.Tunaona TV kama Clouds imechukua nafasi ya kwanza ambayo ilkua inamilikiwa na EATV kwa muda mrefu.Kitaani masela tulikua tunachek sana FNL mida ya Ijumaa ila...
habari wadau,
kuna project naifanya ya ubunifu mavazi..
nina plan ya kupanga ofisi seshemu salama na yenye watu wengi wanaopita pita na kuona bidhaaa mfano kkoo.. mwenge, udsm campus etc..
hizo...
MBUNGE LEMA NA NAIBU MEYA WAMUONYA MKURUGENZI.
Kwa mara nyingine madiwani wa kamati ya fedha jijini Arusha leo wamegomea kuendelea na kikao cha robo ya nne cha kamati hiyo kwa madai kuwa hadi...
Wadau Shida Nin Umeme Kukatika Kira Siku Mida Ya Saa Mbili Na Kuwaka Badae Mpaka Time Ya Saa 3 Au 4 Shida Nin Jaman
Hili Tatizo Limeanza Tangu Juz Umeme Unakatika Tuu
Yani Ninapo andika Makala...
WANAWAKE 1000 WAFUNGA SIKU TATU, WAMUOMBEA DK MAGUFULI
Wanawake zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuombea Rais John Magufuli huku wakiwa...
Ndugu naombeni kujulishwa lodge au gest nzuri na ya bei nafuu Songea mjini karibu na stand tafadhali.
Vile vile sehemu nzuri ya kupata totozi za kingoni, natarajia kutua hapo mwendo wa saa kumi na...
Heshima kwenu wakuu,
Jana mwenzenu nilipatwa, nikaja kuokolewa na zawaidi nilopewa na Mpenzi wangu bila kujijua. Ilikuwa jioni jioni hivi sehemu nasikilizia siku inaishaje. Mara nikaona mtu...
Mh. Raisi kwa kuzingatia utendaji kazi wako na kusimamia maslahi mapana ya jamii, kuna maandalizi ya kujenga makao makuu ya wilaya katika bonde lililopo kijiji cha Segese na Ntobo. Naamini...
Habari wanajukwaa!!
Hope nyote mko poa, ujio wangu ndani ya jukwaa usiku huu ni kuuliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu vyeti vya certificate na diploma kwa kada tajwa hapo juu kwa mwaka...
*Raisi wa TLS yupo mahabusu
*Raisi wa TFF yupo mahabusu
*Raisi wa SIMBA yupo mahabusu
*Raisi wa YANGA yupo mahabusu
Raisi ni mmoja tu nchi hii,dadadadeki...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.