Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna nini NACTE, ni vurugu tupu kwenye application on line.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Nadhani hii ndo safari ya mwisho ya mayanga sidhani kama tutaendelea kukupa timu yetu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Kuna majizi yanaibia watu pesa kialamu kwa kisingizio cha kuwaunga na JKT wao udai wanauwezo wa kuwaunganisha mojakwamoja jkt watakwambia uwatumie pesa kuanzia sh,500,000/ na kuendelea na kuwataka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaoleta taabu ni wazazi wetu vijijini. Wapeleke darasani kuanzia sasa, bila hivyo mwafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa milele na 200,000 kwa mwezi!
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Mh. Mhandisi Hamad Masauni (MB) amesema kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. DR. JOHN...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau habari mapema mida ya saa sita niliingia kwenye web ya mkekabet nikachagua timu kadhaa nikaweka 20000 katika timu nilizochagua iliwemo leicester na liverpool ambayo itachezwa mda si mrefu...
1 Reactions
16 Replies
13K Views
Wadau wa JF, Nimerudi tena natoka Manyara naenda Moshi niko na shemeji natafuta nyumba ya kulala ambayo sio ya gharama sana 10000-15000 ambayo iko hapo Moshi mjini. Samsung galaxy ace J1
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Kwakweli kairuki unaboa sana kila siku umekalia kuahidi tu pamoja na mkuu wako wa kazi,naomba nijue hivi hizo ajira mnazifanyia feasibility study au mnachenjua kama makinikia.
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Leo kidogo nimtwishe konde mmasai maeneo ya kariakor. Nipo nahangaika na mishemishe zangu mpumbavu mmoja mmasai anatokea ananza kunifuata na kunaniambia 'Yero nina dawa ya kipara' kwani mmesikia...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na picha hii, je, inaukweli wowote?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau hii imekaaje sasa hivi kuhusu maombi kufanyiwa mtu mmoja na sio jamii nzima inayozunguka pia, kwani kuna watu wanashida na wanahitaki maombi toka kwa viongozi wetu wa dini..
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Binafsi nilikuwa sipitwi na mchezo huo wa maigizo kupitia RTD. Maigizo hayo yalikuwa yakilatibiwa na wizala ya afya na yalikuwa yakihusu umuhimu wa uzazi wa mpango yaani ufuasi wa NYOTA YA KIJANI...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Siku kadhaa zilizopita, nilijaribu kutoa ushauri wa bure hapa hapa kwa waziri wa nchi, ofisi ya raisi, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora juu ya hili zoezi la uhakiki linaloendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jamvi kwa hali ilivyo sasa kila mtanzania mwenye akili timamu ukimwangalia usoni hana furaha hana amani utadhani ni mkimbizi ambae hakupaswa kuyafurahia maisha awapo ukimbizini lkn hapa ndio...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Na Mwashungi Tahir – Maelezo Wizara ya Afya imezindua kanuni ya udhibiti wa matumizi ya Tumbaku ikiwa ni mkakati wa kupambana na ongezeko la Matumizi ya Tumbaku kwa jamii ya Zanzibar. Hafla ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika nchi zilizoendelea miji hujengwa na makampuni ya ujenzi. Moja ya shughuli zao ni kununua ardhi wakajenga kitongoji/mji wa kisasa. Chukulia eneo lote la Tabata lingekuwa limejengwa na...
1 Reactions
49 Replies
13K Views
Wadau, Imeripotiwa hivi karibuni kuwa uanachama wa Zanzibar kwenye shirikisho la soka barani Afrika CAF umefutwa. Tatizo langu si uhalali wa Zanzibar kuwa na vigezo vya kuwa mwanachama au la, ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk John Magufuli amesisitiza tamko la serikali kuwa nyama ya nguruwe, maarufu kama Kiti Moto, ni salama kwa kuwa hakuna taarifa za kuathirika kwa wanyama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom