Sioni manufaa ya vyama vya wafanyakazi

Sioni manufaa ya vyama vya wafanyakazi

Fidelis Gregory

Senior Member
Joined
May 25, 2015
Posts
147
Reaction score
51
Ivi nini maana ya kuwa na chama kisichoangalia madhumun ya kuanzishwa kwake na kazi zake ukweli CWT kuanzia mwez ujao hachen kukata ela yetu maana kazi mnayoifanya in tofauti na tuliyowatuma mkafanye sjajua mlienda hapo madarakan kufanya nini.
Tambueni na elewen why mko hapo mnakula ela yetu kazi hamfanyi tuwatambueje nasisi hatutaki tuwalipe mshahara ili muone faida.
Ivi mnafikir Elimu yetu mnaipeleka wapi nani atafanya kazi huku anamawazo kumbuken mwalimu hawez kufanya kazi mshahara ukiwa hautosh hata kumfikisha nusu mwez.KUMBUKA UKIPANDA MAHARAGE UTAVUNA MAHARAGE USIWAZE KUVUNA KUNDE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom