Kesho Ijumaa tarehe 21/7/2017 RC Makonda atakuwa LIVE kupitia channel ten

Watu tunahasira hatujapanda madaraja wala kuongezewa mishahara Halafu unatuletea ujinga wako huu, Maendeleo gani bila mishahara bora ?
 
Alipoongea Star TV siku ile walikuwa na kazi za kufuta meza kila baada ya dakika 30 maana zilikuwa zinajaa mate yanayomwagika kutoka mdomoni kwa jinsi alivokuwa anapanua mdomo mpaka mwisho mdomo unapoishia kufunguka wakati anaongea
Kumbe ulimwangalia?
 
Back
Top Bottom