Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Joined
Jul 19, 2017
Posts
20
Reaction score
17
Ni zaidi ya wiki mbili na kama sijakosea itakua ya tatu kumetokea jambo ambalo ni la kustaajabisha kidogo katika jiji hili.

Hapa ninapokaa (Ubungo Msewe) hapo awali kuona maji yanatoka katika mabomba ilikuwa nadra sana. Sasa kila siku maji yanatoka tu, imenilazimu sana ninue shower bafuni.

Nauliza tu ni huku Ubungo pekee au ni Dar nzima? na nini kimetokea? hatujazoea mambo haya.

Kama hali ikiendelea hivi ajira za watu zitakuwa mashakani .
 
Ila ubaya hayo maji ni machafu ukitaka amini kinga kwenye ndoo nyeupe utaona maji ni machafu
 
Ni zaidi ya wiki mbili na kama sijakosea itakua ya tatu kumetokea jambo ambalo ni la kustaajabisha kidogo katika jiji hili.

Hapa ninapokaa (Ubungo Msewe) hapo awali kuona maji yanatoka katika mabomba ilikuwa nadra sana. Sasa kila siku maji yanatoka tu, imenilazimu sana ninue shower bafuni.

Nauliza tu ni huku Ubungo pekee au ni Dar nzima? na nini kimetokea? hatujazoea mambo haya.

Kama hali ikiendelea hivi ajira za watu zitakuwa mashakani .
Mkuu mbona hiyo ipo kwa muda mrefu sasa ila nadhani inategemea eneo na eneo.
 
Kuna madadiliko makubwa wizara ya maji, kuanzia kwa katibu mkuu mpaka wakurugenzi wa idara mbali mbali. Nahisi hii inaweza kuwa ni tija ya mabadiliko hayo.

Mleta uzi usishangae sana, hivyo ndivyo ilipaswa iwe. Umenikumbusha "Allegory of the cave". kwa wale watu wa falsafa wamenielewa hapa.
 
Magufuli ni noma ukiacha mihemko ya kisiasa jamaa ni mchapa kazi
Usishangae sifa akapewa Kubenea wakati mambo yakiharibika wanakana wanasema wao siyo serikali hawana mamlaka na nguvu fedha kuleta maendeleo sehemu zao! Baadhi ya wawakilishi kisiasia ni pasua kichwa.
====
Tunataka sasa kwenye majukwaa watamke wazi kuwa huduma hiyo imefanywa na serikali iliyoko madarakani.
 
Back
Top Bottom