Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Salute!...
Nimemskia mh.Rais wa JMWT Dr JPM akisema kuwa ukiskia adui analalamika ujue umemshika pazuri,lakini ukiona adui anakisfia rudi nyuma uone umekosea wapi.
Lakini ninachojua ni kuwa INAONESHA WATU WA KARIBU wa mh Rais hawamfikishii taarifa za kweli,na wanachomuambia basi wanamuambia ili tu kumfurahisha IMA kwa uoga,au kwa kutaka kufanya anavyopenda Yeye.
Lakini haohao wakitoka huku mtaani wanasema tofauti.Hata bungeni wamekuwa wakitoka wanaambia wabunge wa upinzani ati "lakini mengine mnasema kweli"
Chukua mfano wa wabunge wa ccm wao ni kumsifia rais,chama basi,ni wachache kama si mmoja (Bashe) utaskia anathubutu kuyaongelea matatizo ya wanachi kwa uwazi.
MY TAKE.
KWA KUTOPANDISHA MISHAHARA HATA MIMI CCM kwa hili SIUNGI MKONO HOJA..
Sent using Jamii Forums mobile app