Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mr huyu, namuona katika taarifa mbalimbali za habari, akifanya kazi yake kwa ufasaha na weledi katika kulinda mazingira Tz. Amekuwa akifunga viwanda vingi vinavyokiuka sheria na taratibu za...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Leo katika ziara ya rais Magufuli wilayani Kakonko Kigoma, rais wakati anaelekea kupanda gari kuelekea wilayani Kasulu aliibuka mtanzania mwenzetu mwenye ulemavu wa miguu lakini alijitambulisha...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Vyombo vingi kama siyo vyote vya habari hapa nchini vimelemewa na madeni na vingi vyake wafanyakazi wake wanafanya kazi nusu kujitolea na nusu wanalipwa mishahara. Mishahara na fedha za kuendeshea...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Nipo naangalia malumbano ya hoja ITV, Mada inasema "VITUO VYA MAFUTA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAAGIZO YA SERIKALI NA KUSABABISHA USUMBUFU KATIKA UPATIKANAJI WA HUDUMA KWA, JE WANAWAJALI WATEJA WAO...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
HOJA BINAFSI: TUTUMBUE JIPU? SERA YA ELIMU KATIKA SERIKALI YA MAGUFULI, ELIMU BURE. naunga mkono sera hii ya elimu bure, naunga mkono utendaji kazi wa rais wangu kwa aslimia kadhaa wa kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni masikitiko kwamba tokea juzi mitandao ya simu iliyvyopigwa faini kwa makosa mbalimbali tayari maumivu yameanza kwa sie watumiaji wa huduma hizi. Mfano mzuri ni hawa Halotel. Tokea juzi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, kuna baadhi ya watumishi huku Meru, nikiwemo mimi mwenyewe tumepata ongezeko fulani katika salary ya mwezi huu. Kuna watu wamepata mpaka ongezeko la Tsh. 55,000 kwenye salary zao. Sijui...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili jambo wengi sana hulibeza, wanalichukulia mzaha lakini si mzaha ndo uhalisia ulipo. Zipo njia mbili tu za kukufanya utajirike, wala usidanganywe na mtu au kujidanganya mwenyewe eti ni...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
1. Je anazikumbuka ahadi zake zote ambazo alizitoa kwa mikogo yote / sifa zote siku chache tu baada ya kuteuliwa Kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam? 2. Je anaweza kutaja ambazo kweli...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za jioni wanafamilia. Ni vizuri tukapata takwimu ya matukio yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo Mpaka sasa idadi ya watu duniani ni zaidi ya bilioni 7.5,zaidi ya watu bilioni 3.68...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Salary out lakini hakuna nyongeza yoyote. Acha tuisome 1 3 47889
4 Reactions
101 Replies
15K Views
mambo yanayomfanya mtu asome kwa bidii ni pale anapoona aliyesoma anakuwa na maisha mazuri mfano utamwambia nini mtoto wa mfugaji ambaye baba yake anafoleni ya walimu kwenda kuomba pesa za riba...
0 Reactions
4 Replies
849 Views
Wataalamu wa madini naomben mniambie haya ni aina ya madini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KIBITI SHWARI, ANAYETAKA NA AENDE – ACP MWAKALUKWA Msemaki wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu na wana JF, Naipenda nchi yangu ila kuna kitu kinanitatiza muda mrefu na kunikera sana. Watanzania tuna tabia kuchangishana michango ya harusi mikubwa mikubwa...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Walianza waarabu wakatupiga bakora, wakatufunga Minyororo wakapiga dili zao wakaondoka. Waliobaki ambao wachache wengi wao ni watanzania wenzetu na wapambanaji katika biashara lkn kwa viwango...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete alipokuwa akifungua warsha kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imelifungua tena Gereza la Kitengule lililoko wilayani Karagwe lililofungwa septemba 18, mwaka jana baada ya kubolewa na tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera na kusababisha madhara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom