Je Digrii ya Juu ni Kipimo cha Ubora Katika Utendaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Digrii ya Juu ni Kipimo cha Ubora Katika Utendaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Aug 26, 2008.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Aug 26, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nimeipata article hii kutoka kwenye mojawapo ya magazeti ya Zimbabwe. Nilivyoitafakari, nikaona kama vile inaingia pia katika mfumo wetu wa utawala ambapo siku hizi wasomi wanaacha kufundisha vyuo vikuu kwenda kwenye siasa. Ninawakumbuka akina Prof sarungi, prof Kapuya, Prof Msolla, Prof Ndulu, Prof Mbilinyi, Dr. Msekela, Dr. Kawambwa, na wengineo wengi.


  Vile vile kuna akina wenzangu anaojaribu kusimamia vidole vya miguu kusudi kujirefusha zaidi ya asili yao ili nao waonekane kama wasomi: Dr. Makaongoro Mahanga, Dr. Emmanuel Nchimbi, Dr. Mary Nagu, Dr. Deodatus Buberwa, na kadhalika na kadhalika.

  Je kweli elimu ya juu ni kipimo cha uwezo kiuongozi?

   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Hu told u??????
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Aug 26, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  so, why the fuss over higher degrees?
   
 4. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2008
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45

  Intelligent and Intellectual are two different animal, You can be a Intellectual with Ph.D, with ZERO "0" IQ of Intelligent. So, is better to be Intelligent. Prof, Kapuya, Prof Msolla, Dr. Makaongoro Mahanga, Dr. Emmanuel Nchimbi, Dr. Mary Nagu, Dr. Deodatus Buberwa, these guys are Intellectual but they have Zero "0" IQ of Intelligent.
   
 5. w

  wajinga Senior Member

  #5
  Aug 26, 2008
  Joined: Jun 25, 2008
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Intellingency is knowing when you do not know something and finding out the relevancy of what you need to know and how to process information to you advantage.
   
 6. e

  eddy JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,373
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  What makes a human being different from other beings? its Intellect reasoning and willing.

  Hebu tulinganishe makundi haya ya viongozi:

  Bokassa, Idd Amin.

  hili kundi la Dr.Keneth Kaunda, Dr. Kamuzu Banda, prof. Yusuf Lule.

  Kwa namna moja au nyingine hawa walianguka kisiasa, je haya makundi mawili tunajifunza nini?
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Aug 26, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,748
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  kichuguu,

  ..hapa kwetu Raisi akiwa bomu basi nchi nayo inakwenda mrama bila kujali kwamba ana wasaidizi na watendaji waliobobea.

  ..Tanzania iko hapa ilipo kwasababu tuna mkosi wa kupata Maraisi bomu.

  ..salama yetu ni kuwa na Raisi msomi aliyebobea atakayewabeba viongozi wenzake in the right direction, au kuwa na Raisi asiye na elimu lakini atakaye-delegate masuala mengi kwa wasaidizi wenye utaalamu wa hali ya juu.
   
 8. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Tricky! Uongozi ni kipaji, kama vipaji vingine vyovyote vile -uimbaji, michezo, n.k.

  Ili mtu awe kiongozi anahitaji kuwa na hicho kipaji, sambamba na hekima, malengo, na ucheshi.

  Ingawaje elimu sio kigezo cha kuwa na kipaji cha uongozi, lakini ni nyenzo muhimu sana kwenye uongozi.

  Sasa Tanzania (pengine na Africa mzima) kuna group tatu za viongozi:
  1 - Wale ambao wana vipaji vya uongozi na wanatumia vizuri vipaji hivyo (kwa bahati mbaya wako wachache sana).
  2 - Wale ambao wana vipaji vya uongozi, lakini wanatumia vibaya vipaji hivyo (asilimia kubwa ya viongozi wetu wako hapa).
  3 - Wale ambao hawana vipaji vya uongozi, lakini kwa sababu za kimaslahi au kibinafsi wanajiingiza kwenye uongozi. (Hili linaweza kuwa kundi la kina ma-Prof's ulilolitaja).

  Mfano - Binafsi, naamini mtu kama E. Lowassa ana kipaji cha uongozi, lakini kwa makusudi amehamua kutumia kipaji hicho tofauti na misingi inayokubalika (group 2). Lowassa angekuja kuwa ranked juu sana kwenye historia ya uongozi wa Tanzania kama angekuwa straight...
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huhitaji PhD kwenye siasa, wala hata huhitaji PhD kuwa CEO wa kampuni.

  Unahitaji Ph.D kwenye kufundisha na kwenye researches.

  Ph.D kwenye siasa ni kamba tu na wala haiongezi tija yoyote.

  Nashangaa hata mwanasiasa kutanguliza Dr. au Profesa mbele ya jina lake.
   
 10. Dx and Rx

  Dx and Rx JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 873
  Likes Received: 2,309
  Trophy Points: 180
  Amaa kweli Wahenga walinena, Ya kale ni dhahabu
   
Loading...