Nifanyeje nimetuma sh 200,000 kimakosa!

Nifanyeje nimetuma sh 200,000 kimakosa!

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,142
Reaction score
4,064
Wakuu kwema?
Ni hv ilikuwa Jana namutumia mdogo wangu aliyeko shule kiasi cha 200,000 kwa bahati mbaya nilikosea namba na kuituma kwa mtu mwingne kwa bahati mbaya sikungundua mapema kwani ni leo ndo nimetambua ya kuwa hela hazikufika kwa mlengwa baada ya dogo kunistua.

Nimewapigia Voda wanadai pesa ishatolewa na huyo mtu ambaye nilituma kwake, Nampigia simu hapokei.

Je, nifanyeje wakuu?kuna namba naweza mpata Hugo mtu aliye itoa pesa na ilikhali imetumwa kimakosa?

Akipatika kuna kesi yoyote naweza kumfungulia?

Asanten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzia polisi kwanza utoe taarifa halafu urudi voda (kwenye ofisi zao) usipige simu, nenda mwenyewe.
 
We ni mzembe,yaani unatuma hela haukiki Namba ya unaemtumia wala jina,,iyo hela uwezi kuipata tena sahau, ,na hana kesi huyo jamaa uliemtumia kimakosa,, ndugu yako amekupa namba iliyo sahihi, ,kwann ukutuliza akili wakati unatuma iyo hela, au alikupa namba ambayo sio correct
 
Anzia polisi kwanza utoe taarifa halafu urudi voda (kwenye ofisi zao) usipige simu, nenda mwenyewe.
Na je huyu mtu akipatikana Ni kesi gani ya kumshataki nayo???
 
Wakuu kwema?
Ni hv ilikuwa Jana namutumia mdogo wangu aliyeko shule kiasi cha 200,000 kwa bahati mbaya nilikosea namba na kuituma kwa mtu mwingne ...kwa bahati mbaya sikungundua mapema kwani Ni Leo ndo nimetambua ya kuwa hela hazikufika kwa mlengwa baada ya dogo kunistua.
Nimewapigia Voda wanadai pesa ishatolewa na huyo mtu ambaye nilituma kwake...Nampigia simu hapokei.
je nifanyeje wakuu?kuna namba naweza mpata Hugo mtu aliye itoa pesa na ilikhali imetumwa kimakosa??
Akipatika kuna kesi yoyote naweza kumfungulia???
Asanten.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu hapo ujifunze tu siku nyingine uwe makini kwani ulipaswa pia kuhakiki taarifa za uneyemtumia kabla ya kutuma. kwa kuwa ni hela kubwa.Njia pekee ambayo voda watakushauli ni kumuomba akurudishie au nenda polisi karipoti watakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mzembe,yaani unatuma hela haukiki Namba ya unaemtumia wala jina,,iyo hela uwezi kuipata tena sahau, ,na hana kesi huyo jamaa uliemtumia kimakosa,, ndugu yako amekupa namba iliyo sahihi, ,kwann ukutuliza akili wakati unatuma iyo hela, au alikupa namba ambayo sio correct
Mkuu unahisi jamaa alituma hiyo hela kwa makusudi? Jaribu kujiuliza kipindi anatuma hiyo hela kichwani alikuwa anawaza nini?
 
Kwanza unapaswa uende polisi ukafungue jalada LA kesi, Pili Nenda TCRA au Kampuni LA Simu husika kwa msaada zaidi.
 
Mkuu hiyo ichukulie kama loss tu, sometimes inabidi tukuballi loss na kusonga mbele na kujifunza kuwa makini wakati ujao
Maana kufuatilia TCRA, Polisi, kama una bahati polisi wamkamate kweli, kisha kesi ianze na ushinde hiyo kesi, then urudishiwe fedha yako uwezekano ni mdogo sijui kama ni worth your time ukizingatia hizi taasisi zetu zilivyo sluggish na zinavyopuuzia concern za watu
Jipime kama hiyo hela ina thamani kiasi gani kulinganisha na muda utakaochukua ukijumlisha na fedha nyingine utakazopoteza kwenye hiyo procees nzima
 
atafanikiwa kweli kwa maana jamaa ameshatoa aisee, labda jamaa awe msamaria
hahaha, ni ngumu kurudisha, labda Voda wasubirie siku akiwa na hela kwenye a/c yake wamkate.
Kuna story moja bwana, shoga yangu alikosea hivyo hivyo akatuma elfu 52,000/= kwa makosa zikaenda kwingine tena Njombe huko. akawa kila akimpigia hapokei, basi tukapanga kumtisha. mie nikamtumia meseji kuwa ni mchawi/mganga wa kienyeji kuna mteja kaja kwangu anataka kukudhuru kwa kuwa hutaki kurudisha pesa zake, ila nimeona nisifanye lolote kabla sijakupa taarifa. Huwezi kuamini mtani, yule dada alirudisha fasta zile hela. hahahha yaani tulicheka kweli maana hatukutegemea kama angetishika na kitisho cha kitoto na namna hiyo.
 
Kwanza unapaswa uende polisi ukafungue jalada LA kesi, Pili Nenda TCRA au Kampuni LA Simu husika kwa msaada zaidi.
Mkuu Ni Kweli lakn nawaza huyu mtu akipatikana atahusika na kesi gani?maana naweza tumia gharama nyingi mwisho wa siku jamaa akanilipa ile 200,000 tu.
 
Mkuu hatua ya mwisho ni kuthibitisha ikiwa ishaonekana jina la unaemtumia hela, hata hukuona mkuu!!

Mimi jana jioni nilituma kimakosa laki 206500 kutoka tigo to mpesa,niliwahi kuwaambia Voda wakazuia kutoka hela sasa nasubiria masaa 72 wanirejeshee mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana
We ni mzembe,yaani unatuma hela haukiki Namba ya unaemtumia wala jina,,iyo hela uwezi kuipata tena sahau, ,na hana kesi huyo jamaa uliemtumia kimakosa,, ndugu yako amekupa namba iliyo sahihi, ,kwann ukutuliza akili wakati unatuma iyo hela, au alikupa namba ambayo sio correct
Mkuu siyo uzembe, hiyo inatokea, has hizo siku za smart phone, kukosea number au helufi ni kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom