next time pls tuonye kwanza kuhusu hizi video ,na huku ndiko tunakokwenda a violence national,watu wanajengwa kuwa na hasira,fujo na mbaya zaidi kutokuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama,kujichukulia sheria mkononi its a criminal case,hapa watu hawa wamefanya first degree murder,but ikiangalia upande wa pili wa coin utagundua wananchi hawa they don't trust our police na hii hatua tuliyofikia inaanza kutisha,whats next hatujui may may kumchoma moto mkenya kisa anafanya nini hapa LINGUSENGUSE,ni aibu kwa taifa letu kuona tunafanyiana unyama huu ambao hata wanyama wa porini hawaufanyi.