donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Habari ndugu,
Naomba msaada wenu hapa
Kuna video hii You Tube
nimekutana nayo inamuonesha IGP KAMANDA SIMON SIRO akiwaelezea wananchi wa kagera habari za KIBITI na akiwatahadharisha wao pia wawe makini.
Kilichonishtua nimemsikia akisema kuanzia DAKIKA YA PILI
"...hayo MAENEO YAO MARA NYINGI YA KUABUDIA ambayo ndio wanapanga mipango ya kufanya mauaji ni lazma tuyafanyie kazi"
Sasa mimi sijaelewa tusaidiane kwani kuna baadhi ya MAENEO YA KUABUDIA ambayo tayari yamegundulika kuhusiana na KIBITI.