Ijue vizuri kampuni ya utafiti ya ipsos-synovate

Ijue vizuri kampuni ya utafiti ya ipsos-synovate

Pisondo

Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
29
Reaction score
1
Takribani kwa miaka zaidi ya kumi (10), kampuni ya wakenya inayofanya tafiti hapa nchini Tanzania IPSOS-SYNOVATE, imekuwa ikizidi kulalamikiwa kwa report zao za utafiti ambazo hazina ukweli na hali halisi ya Tanzania, sasa sisi kama raia wenye mapenzi na taifa letu tunachukua hatua gani kuhakikisha hii kampuni inafungiwa kufanya kazi nchini maana report zao ni useless kwetu...., Suluhisho la awali ni kukataa kuhojiwa pindi wanapopita kutuuliza maswali 10% kati ya maswali 100% wanayostahili kuuliza kwa kila dodoso la kila muhojiwa.


Mbona kampuni ambazo zinafanya tafiti zao kwa kufuata kanuni na sheria zote za ukusanyaji wa data toka kwa wananchi hapa nchini report zao huaminiwa na kutumiwa na sector mbalimbali kimaendeleo mfano REPOA, IHI, NIMR, ESRF, REDET, AC NIELSEN kamwe haitatokea report ya data zao zikakataliwa maana huwa ni sahihi.
 
Kampuni ya IPSOS-SYNOVATE imesheheni watendaji ambao hawana kabisa weledi au taaluma ya kazi wanazozifanya za utafiti, maana ni jambo la kusikitisha project cordinator mbali na kutofahamu taaluma ya Research au Marketing kwa kuwa hajaisomea hata kingereza lugha ya kazi wala hafahamu kabisa, Je hapa kuna kazi inafanyika au ni utapeli? maana report writing/data analysis/ problems solving/ data presenting/computing kwowledge havijui je hapa kuna uhalali na ukweli wa data zao??.
Kampuni viongozi wake wakuu ni Raia wa kenya, kuanzia managing director,research ana assistant managers na project managers wote ni raia toka kenya,kwani hakuna watanzania wenye sifa za kushika nafasi hizo?.... maana kati ya hao mabosi hakuna mwenye elimu ya degree wana fani tofauti tena ngazi ya cheti., wanachojivunia ni lugha ya kingereza tu.
 
vp mkuu ndiyo synovate nayoijua ya pale karibu na shoppers plaza au? kama ni hiyo magumashi matupu hamna lolote.
 
wanatoa ela ndogo mnooo ndo mana interviewer wana cook data, afu wabaguzi mnooo...nilifanya palee akat cjapata ajira...unaweza kaa miez mitatu hujalipwa inaitaj moyooooo
 
wanatoa ela ndogo mnooo ndo mana interviewer wana cook data, afu wabaguzi mnooo...nilifanya palee akat cjapata ajira...unaweza kaa miez mitatu hujalipwa inaitaj moyooooo

Siyo miezi mitatu tu hufikia hadi miezi mitano hawalipi wages za wafanyakazi wao, kampuni imejaa ubabe,majivuno kwa watendaji wadogo,hawafai kabisa sijui hii kampuni inalindwa na nani vijana wa kitanzania wananyanyasika sana.
 
Inabidi Coordinator wao aje ajibu haya Malalamiko/hoja za Msingi.Otherwise hawafai kulingana na comments za wadau walio wengi!
 
vp mkuu ndiyo synovate nayoijua ya pale karibu na shoppers plaza au? kama ni hiyo magumashi matupu hamna lolote.

Data zao ni za kupika tu hazina ukweli wowote, watendaji wao viwango vyao vya elimu magumashi tu, cordinator hata english hajui
 
Hii kampuni haiko kwa ajili ya maslahi ya watanzania,inawakandamiza watanzania,wadau mnaohusika ifuatilieni hii kampuni kwa umakini sana.
 
Wana Jamvi poleni kwa majukumu ya siku, nimeona maoni yenu hapo juu, mimi nadhani nawafahamu hawa watu labda tukisema kuwa wana cook data au wanagandamiza wa-Tanzania mnakuwa mnamaanisha nini au ni tafiti ipi walitoa ikawa na uongo ndani yake? nahoji
 
Wana Jamvi poleni kwa majukumu ya siku, nimeona maoni yenu hapo juu, mimi nadhani nawafahamu hawa watu labda tukisema kuwa wana cook data au wanagandamiza wa-Tanzania mnakuwa mnamaanisha nini au ni tafiti ipi walitoa ikawa na uongo ndani yake? nahoji

Wanawagandamiza watanzania kwa kuwalipa malipo yao ni madogo na data collector hawalipwi kwa wakati.
Tafiti yao ya uongo ni kama SPEC ambayo wanaiita SHADA ambayo inabashiri hali ya siasa hapa nchini ni ya uongo mtupu kwani wanaokwenda kufanya hiyo kazi wanalipwa budget ndogo sana hivyo huwafanya wajaze madodoso chini ya miti.
Project nyingi za pale huwa ni magumashi matupu, ipsos wana recruit watendaji ambao elimu zao ni ndogo sana wapo data collectors ni standard seven.
Jiulize kwanini ipsos hadi vikazi vya pesa ndogo wanapokea kufanya? wakati kampuni nyengine za tafiti zimeikataa hiyo kazi!
Tafakari kwa makini chukua hatua!
 
mbona nackia wana lipa vzri sna labda hawa toi contract
 
Back
Top Bottom