. Wakuu habari zenu hpe mko poa
Kuna hizi bidhaa nataka niziweke dukan kwangu nimevutiwa nazo sana na natamani nizweke pamoja na logo yangu kama alivyo born 2 shine (hassan mandi)
So naomba...
Naamini mko poa wakuu,
Mi kuna maswali huwa najiulizaga na sijawahi kuyapatia majibu.
1.Nini tofauti ya mchawi na mwanga?
2.Nitamjuaje mchawi au mwanga (dalili na ishara zake)
3.Nini lengo la...
Jana nkiwa moja ya lecture hall nkimsikiliza lecture wangu wa pathology mida ya jioni nilimsikia mwanafunzi mwenzangu (jina confidential) akilalama toka kipindi kikianza mpaka mwisho kuwa...
Mtu mmoja auawa mkoani Geita, katika kijiji cha Iwamgasa usiku wa leo.
Chanzo cha kifo chake alienda katika nyumba akampiga mme wa mtu kwa kumchoma na moko halafu akamchukua mke wake kisha...
Kenya wana tishio kubwa la usalama kuliko Tanzania lakini vyama vya siasa vipo huru kufanya mikutano ya ndani &ya hadhara bila kubughudhiwa.
Kwetu maana tofauti kwanini?
Dola huongozwa na watu...
Utafiti unaonyesha kwamba mazingira au tabia za wabongo kupenda kubeba kichwani kila aina ya mizigo Mfano Mabegi, Kuni Magunia, Masanduku, Viroba NK.
Hali hii imepelekea vichwa vya wabongo...
Kuna ndege imezunguka kama mara tatu eneo hili la Oysterbay ikiwa na gurudumu za mbele na nyuma kulia zimetoka lakini nyuma kushoto zikiwa hazijatoka.
Je wataalamu hii ni kawaida? I am just curious
Tangu asubuhi naingiza vocha za tigo kwa *104* napata meseji isemayo "Connection problem or invalid MMI"
Baada ya several attempts nikafanikiwa, lakini tena kujiunga na vifurushi kupitia *148*00#...
True leader/Teacher
Undisputed lawyer/
No kidding/No surrendering
Dabster of Tanzania's body politic
Unabashed/Unashamed/Untameable
Learned brother/Legend of the day
Intelligent/Indomitable...
Ningeomba sana serikali yetu iwakumbuke Alibino kwa kuwapa mafuta na miwani ya kuzuia makali ya mionzi ya jua bure au kuondoa kodi zake zote ili wenzetu wapate unafuu wa mafuta haya. Nasema hivi...
Hivi vyama vya CHADEMA na CUF vikifa CCM watashindana na nani?
Simba ikifa Yanga itacheza na nani?
Kama watanzania lazima tukubali ushindani wa kisiasa kwa moyo mkunjufu, lazima tufanye siasa za...
Habari wanabodi,
Gari imemgonga mwanafunzi wa kike na kufariki papo hapo, gari imekimbia, kwa sasa polisi ndio wanafika eneo la tukio.
Amegongwa mida ya 06:32 Asubuhi.
Sent using Jamii Forums...
Wanajamvi,
Mimi ni muumini wa dini ya kikristo, dhehebu langu nitataja nikihitajika kufanya hivyo.
Naomba ufafanuzi kwa wale wenye uelewa zaidi kuhusu hawa viongozi wa dini wanaoibuka siku hizi...
Kitu gani tufanye kikubwa na chenye akili ili tuonekane na sisi ni binadamu wenye vipaji vikubwa na hatukustahili kuuzwa kama mbuzi enzi za utumwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na wale ma-air hostess wa ethiopian airlines. Hawa pia ni waethiopia wa kabila la Hamar, na hii ya kuchapwa inaitwa Ukuli Bula. It might make sense, that some baes need a little beat up....
Wale wenzangu na mimi ambao ni Watumishi wa Umma tunaolazimishwa kutoa hela kwaajili ya kuratibu shughuli za mbio za Mwenge tukutane hapa tupeane mawili matatu kuhusiana na kugomea kutoa hela...
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti katika mkoa wa Rukwa, akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mafulala Manispaa ya Sumbawanga, Anna Kashamsakula (35) aliyeuawa kikatili baada ya kuchinjwa na...
Habari zenu wanajamii forum
Hivi kuna uhusiano gani kati ya mtu kuwa rafu na hovyo hovyo na kuwa na akili kwa kuwa tunaona hata mashuleni wale ambao ni nadhifu sana perfomance zao ni za kawaida...
Leo nilikua naangalia ITV kumbukumbu ya vita vya Kagera,na wakati vita hivi vikipiganwa nilikua nimeshazaliwa ila maji nilikua naita mmaah wakati huo,nimekua nikiadithiwa kuwa wakati wa vita...