Msaada mwenye kujua kuprint nguo na kuuza bei ya jumla

Vladimirr

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
546
565
. Wakuu habari zenu hpe mko poa

Kuna hizi bidhaa nataka niziweke dukan kwangu nimevutiwa nazo sana na natamani nizweke pamoja na logo yangu kama alivyo born 2 shine (hassan mandi)
e4f8e2e049b6758155818c665e229ef6.jpg


So naomba msaada kwa anayefahamu duka la jumla na kuprint kwa ujumla

Ukinisaidia nitashukuru sana nipo mkoani

Welcome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom