Rais hatumii lugha ya kisukuma kulihutubia Taifa

Rais hatumii lugha ya kisukuma kulihutubia Taifa

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Rais amekuwa akitumia lugha ya kiswahili kulihutubutia Taifa na watanzania toka ameingia madarakani na ametoa taarifa rasmi kwa umma.

Ila anatumia lugha za asili kusisitiza jambo aidha serious au utani kwa maneno machache sana na hususani kwa eneo la kabla hilo.

Marais Karibu wote kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia maneno ya lugha za asili ktk kutia ujumbe wa msisitizo tu.

Rais wetu anapigania na kupinga ukabila,udini na kujenga umoja wa kitaifa.
 
Ni vizuri kutumia akili ambayo umepewa bure na Mungu kuliko kutumia nguvu ambayo wakati mwingine itakulazimu kutumia gharama kuzipata aina haja ya kutoa ufafanuzi kwa jambo ambalo hata mtoto mdogo anajua tutamshauri aanze na kutumia kichagga kwenye hutuba zake
Cheo au mamlaka hayana dhamana au haki ya kukunyima uhuru wa kuenjoy utamaduni au lugha ya asili yako
 
Mara nyingi namsikia akiongea sana kingeteza hasa pale anaposisitiza jambo
 
ukiwa na chuki na mtu hata mdudu aliyetua karibu yake utatamani yampate makubwa unasahau huyo ni mdudu tu
 
Kama anathubutu kutumia mabilioni ya kodi zetu kuiendeleza Chato (nyumbani kwao) bila ruhusa ya wawakilishi wetu, hilo la lugha mbona jambo dogo? Labda hapo napo utetezi utakuwa anatumia kiasi kidogo tu katika kusisitiza anavyopenda maendeleo ya Watanzania wote! Kaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom