Mrema wa Impala Hotel - Hoteliers double loss saga ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema wa Impala Hotel - Hoteliers double loss saga !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Sep 28, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tuesday September 28, 2010 Local NewsHotelier’s double loss saga

  MARC NKWAME, Arusha, 27th September 2010 @ 22:00, Total Comments: 0, Hits: 298

  CASH amounting to about 100 million/- has been stolen from the famous Impala Hotel here at the time when the wife of the hotel’s director also disappeared.

  The theft and the wife’s disappearance happened last Sunday evening. Police reports indicate that the stolen funds, that were taken from the tourist hotel’s safe include Tanzanian shillings amounting to over 52 million/-, US dollars valued at 16,000/-, Kenyan currency reaching 200,000/- and assortments of other foreign money, all amounting to over 100 million/-.

  “The theft was reported at the central police station at about 4 pm, on Sunday evening by one of the Impala hotel’s employees, Mr Justine Laizer,” Arusha Regional Police Commander Matei Basilio said on Monday.

  Initial police investigations have found that the only person who had access to the highly-secured safe was a high-ranking hotel worker, Veronica Meleu Mrema. According to the testimony by several hotel workers, Veronica was spotted entering the hotel’s office, located in Kijenge area at about 8am in the morning but nobody saw her leave the premises.

  Later that evening, the safe was found open and empty, prompting them to contact their director. It later turned out that Veronica happened to be the wife of the Director of Impala Group of Hotels, Mr Awio Meleu Mrema.

  Mr Mrema said his wife usually had authority to take money from the hotel and bank it. However, on that particular day, she simply took the money and neither banked it nor was she to be seen again.

  The Impala hotel boss is now faced with two major tasks; finding his suddenly disappeared wife as well as recovering the money. Police have launched a search for Veronica.

  Source:Daily News | Hotelier’s double loss saga
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,205
  Trophy Points: 280
  Du,
  Mrema ni mchapa kazi sijaona mfano wake, sio tuu ndio mmiliki wa Impala, bali pia ndiye mmiliki wa Naura Spring na Ngurdoto Lodge.
  Kwa wanaofika Impala, amini usiamini, jamaa anapiga kazi usiku kucha!.

  Nilikuwa na kajishughuli cha siku kumi hapo AR, tukapanga hoteli kwake hapo Impala, sisi tunapiga mzigo usiku kucha pale kwenye net cafe yake, kila tukitoka kujinyoosha, jamaa anapiga mzigo usiku kucha kwenye kiofisi chake hapo Impala, akiwa ni yeye tuu na dada mmoja mweupe bomba, kiumri anaonekana bado young, hawezi kuwa ndiye mkewe.

  Siku moja nikamuuliza dada mwingine, hivi huyu bosi mbona anafanya kazi usiku kucha?, nikajibiwa ndio time zake, hungia kazini saa 4 usiku mpaka 4 asubuhi. Nkauliza ana mke?, nikajibiwa ndio. Sikuuliza zaidi, ila nilijiuliza mwenyewe kimoyo moyo, kama huyu jamaa ana mke, huyo mke anakuwa nae saa ngapi? wakati usiku kucha bize na mahesabu, mchana kutwa bize kuzungukia mahoteli yake yote matatu.

  Baada ya kuisoma hiyo story, sasa ndio kumbukumbu imenirudia, kumbe yule dada wa night shift, ndie alikuwa mfanyakazi wake mwaminifu cum wife. Mwenzake anataka mapenzi, bosi anataka kazi, nadhani huyo dada baada ya kutumika kiasi cha kutosha, atakuwa amejilipa mshahara na marupurupu yake ya double shift ya kazi cum wife na kutafuta ustaarabu wake mbele ya safari.

  Naombea awe amekwenda zake nje ya nchi na ka kijana kake, tena wakajichimbie kwenye miji isiyo na majina, not New York wala London, macho ya bosi huyu yanaonyesha kama ni mafia flani, akimpata, anaweza kumaliza kila kitu.

  Hiyo milioni 100, ni mauzo ya siku moja tuu, tatizo ni nani sasa wa kukesha na boss ofisini?.

  Pole Mrema
  Pole wanaarusha.
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Pasco, asante kwa hili dokezo! jamaa inaonekana basi yeye ni 'mlevi wa kazi' ; Si unajua tena 'jack of all trades, master of none'
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksanteni kwa taarifa
   
 5. minda

  minda JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  watu wanaweza kudhani ni dili la vero kumbe otherwise! polisi wafanye kazi yao.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Wakuu Mrema wa Impala,Naura Spring,Ngurdoto Lodge ninayemfahamu ana wake wengi na watoto wengi.Watoto wake karibu wote wanasoma Australia.Mwanamke ukimzalia mtoto anakupokonya ukililia unakabidhiwa nyumba mchezo unaisha.

  Mrema ana shule ndogo lakini ni mwenye bidii ya ajabu na ameweza kumudu kuendesha biashara kwa mafanikio makubwa kuliko wafanyabishara wengi wenye elimu kubwa.Wenye kumjua vizuri wanadai alikuwa dobi yaani kufua nguo kwa mkono na kupiga pasi tu,baadae alijiingiza kwenye biashara ya taxi.Kipindi cha harakati marehemu E M Sokoine cha kudhibiti wahujumu uchumi Mrema aliibuka ghafla zipo story nyingi kwamba kuna tajiri mmoja wa kihindi alimwachia kiasi kikubwa cha fedha ili kukwepa mkono wa chuma wa marehemu Sokoine.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Minda , tufafanulie kidogo.
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna utata, je banker wao huwa anafungua sundays? Kama hapana ilikuwaje mke achukue hela zote hizo wakati akifahamu kuwa hakuna huduma za kibenki siku hiyo? Kwa upande mwingine kama huyu mdada au mke amefanya deal la milion mia mbona ni dogo sana hilo jamani? Kwa kweli kama ni deal siwezi iba pesa ndogo kama hiyo halafu inikoseshe amani muda wote. Kwanza kama akihonga polisi mbona zitabaki kidogo sana. Au pengine useme alishakuwa anamwibia kidogo kidogo then hii ni lala salama tu. Anyway, huuu ni ukosaji nidhamu wa hali ya juu. Au usikute kama jamaa yuko busy sana basi mama alishajipatia kiserengeti boy chake na akaamua kuishia zake. Ila jamani yule mrombo ni mkali na mshenzi sana, atammaliza. Wewe subiri.
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watu wote wanaweza kusema hivi kuwa jamaa anamiliki hotel sijui Naura, sijui Impala na ile Ngurdoto. Jamaa ni director kwa kumiliki tu! Wenye mali waulize akina Kinana na Mkapa ndo utajua. Mrema alikuwa dobi pale Arusha. Alikuwa bingwa wa kupiga pasi na kufua suti za akina Kinana na wote viongozi waliokuwa wanatembelea AR. Hivyo pale kwa Mrema pakawa kama kijuweni pa kupanga deal. Kama wewe huna suti utaenda kwa Mrema kufanya nini? So ikawa ni kijuwe cha wakubwa tu. Wazo likazaliwa la kuwa na vitega uchumi. Nani asimamie bila Mwalimu kujua ni mali ya vijana wake! Akateuliwa Mrema! Akaanza kazi mara moja. Ikajengwa Impala ( I wish watu wangeiona hiyo ya kwanza!), then vikafuata viunganishi vya viraka hapa na pale. Then Mkapa akaja na Ngurdoto halafu Naura Spring ambayo Reginald Mengi alijaribu kupinga kwa madai ya mazingira. Hata hivyo ilisimama kwa muda tu! So majority shares are from BIG FISHES OF THIS COUNTRY!

  Back to Mke kukwiba
  Mrema ana tabia ya kudoo ze needful na wafanyakazi wake na akinogewa anaoa kabsaa. Veronica ni mmoja tu wa wake zake lakini nearly wasichana warembo pale walishapitiwa na mzee. Kuna mdada mmoja wa kipare alikuwa ameolewa na jamaa mmoja pale Moshi mwenye biashara zake kadhaa. Ikawa huyu dada alikuwa mpenda game sana. Akawa na scandal kadhaa hivyo wakaachana na jamaa. Kumbe Mrema was behind the curtain akampa kazi na kuoa na amezaa naye kabisa.
  Mimi sitoshangaa kuibiwa maana kama utajua kinachowapata wenzako baada ya kuzalishwa basi utakosa imani.
   
 10. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Nakubaliana kabisa. Kwa jinsi Mrema anavyowasaidia wanawake zake, huyu dada hawezi iba vijisenti vidogo hivyo.
  Anaweza kuwa ametekwa tu na wezi, hii possibility inawezekana.
  Police wafanye kazi yao vizuri...something is not proper here

  J
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  nahisi hata aliemwibia ni hawara yake wanamsingizia mkewe
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hakuna anayeweza kumpa sifa mwenzake pale anapopata mafanikio. Hata kama alikuwa dobi au nini lakini ameweza kumanage vizuri hizo resources na ameleta mafanikio. Ikiwa ni kwa mabosi wake au kwa partnership lakini jamaa anaonyesha anao uwezo wa kumanage.

  Kwani wangapi wamepewa mitaji hiyo na kushindwa? Mfano, wapo matajiri wangapi Marekani walikuwa masikini na kwa juhudi zao wakaweza kujikwamua na kuwa mamilionea! Hicho cha kujikwamua ni kipaji na si ye yote anaweza kupata mafanikio hayo.

  Mimi nampa big up Mrema, ameweza kujikwamua kutoka katika umaskini na kupiga hatua mbele.
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Mimi nilishawahi lala pale Impala Hotel yaani jamaa anaosha mpaka vyombo kweli tunahitaji mjasiriamali kama mrema angetufaa kweli kama angekua kiongozi wa nnchi yetu ambayo inarasilimali nyingi angechapa mzigo usiku kucha safi saaaana Big Up Mrema hivyo ulivyoibiwa nivijisenti tu kaza BUTI Mrema.:tonguez:
   
 14. kidadari

  kidadari JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2017
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 2,336
  Likes Received: 1,198
  Trophy Points: 280
  R IP
   
Loading...