sakata la yule mhindi aliyemkabidhi mh.makonda eneo kigamboni

Mkwaju Ngedere

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,046
872
Kuna sakata la yule mdosi IQBAL, ambaye alimkabidhi eneo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kule kigamboni ambalo SI MALI YAKE, baadae WAZIRI LUKUVI alitoa taarifa kuwa mdosi kampiga changa la macho Mkuu wa Mkoa, na yuko mbioni kumchukulia hatua za kisheria mdosi limeishia wapi?
 
Nakushauri kitu kimoja tu, achana na sarakasi za CCM wanaziweza wao wenyewe. Kila mtu anajua jinsi ya kudanganya ili mradi mkono uende kinywani. Mwishowe atakuja mtu na kusema zile Documents zinaonyesha ardhi iko Kibiti sio Kigamboni. Ccm wakisikia Kibiti wote wataikana hio ardhi. Kikubwa tafuta maisha ya watoto wako tu. Siasa za bongo mmmghhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170730-WA0041.jpg

Hahaaaa mkuu wanichekesha kama chiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sakata la yule mdosi IQBAL, ambaye alimkabidhi eneo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kule kigamboni ambalo SI MALI YAKE, baadae WAZIRI LUKUVI alitoa taarifa kuwa mdosi kampiga changa la macho Mkuu wa Mkoa, na yuko mbioni kumchukulia hatua za kisheria mdosi limeishia wapi?
Movie ilishaisha ile unashituka leo.
 
Huwa wanatumia udhaifu wa watanzania kusahau matukio haraka, ndio maana masakata hayatakwisha nchi hii.
 
Sijajua hata limeishia wapi lile sekeseke..mwenye taarifa zaidi anijuze

Naona Lukuvi aliamua kupiga kimya ili asipoteze kazi, maana bado anakumbukumbu nzuri ya kilichompata Waziri Wa habari Wa zamani baada ya kubishana na Mh RC Makonda
 
Nakushauri kitu kimoja tu, achana na sarakasi za CCM wanaziweza wao wenyewe. Kila mtu anajua jinsi ya kudanganya ili mradi mkono uende kinywani. Mwishowe atakuja mtu na kusema zile Documents zinaonyesha ardhi iko Kibiti sio Kigamboni. Ccm wakisikia Kibiti wote wataikana hio ardhi. Kikubwa tafuta maisha ya watoto wako tu. Siasa za bongo mmmghhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahaaha....
Duh!
Kibitiiiii.....
 
Naona Lukuvi aliamua kupiga kimya ili asipoteze kazi, maana bado anakumbukumbu nzuri ya kilichompata Waziri Wa habari Wa zamani baada ya kubishana na Mh RC Makonda
kwa hiyo huyo muhindi ana ' ushawishi' mahali?

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Back
Top Bottom